Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEILA NA JULIUS WAKAMATA NONDO CHUO KIKUU CHA MARYLAND

Sheila na Julius wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamata nondo ya 2nd Masters ya MBA katika chuo kikuu cha Maryland nchini Marekani. Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na Sheila Mgaza Sheila Mgaza akipata picha na marafiki zake. Sheila akiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Picha zikiendelea. Wakati wa kukabidhiwa nondoz. Mama mzazi wa Sheila Baybe Mgaza akifurahia jambo ( Picha zote naTito Mazali)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MARIAM KALALA NYANG'ORO AKAMATA NONDO CHUO KIKUU CHA STRAYER, GEORGIA DOME.

Mariam Kalala Nyang;oro akipata picha baada ya kukamata nondo ya Masters of Health Services Administration katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.Kutoka kushoto ni dada mkubwa wa Mariam, Alu, baba mzazi wa Mariam, Mzee Yusuf Kalala na Mariam wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mariam kukamata nondo leo Jumamosi May 16, 2015 katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere

user comment

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.

2

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...

 

10 years ago

Vijimambo

ALLY SHARIF AKAMATO NONDO CHUO KIKUU CHA VIRGINIA MASHARIBI(WEST VIRGINIA UNIVERSITY)

Ally Sharif akipata picha baada ya kukumata nondo katika chuo kikuu cha West Virginia siku ya Jumapili May 17, 2015.Ally Sharif akipata picha na baba yake.Ally akiwa amebebwa na dada yake LilianAlly akiwa na Aunty Aisha na Bibi Rose.Ally na dada yake Lilian.Ally na baba na mama.Kwa picha zaidi bofya soma zidi

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

ELIMU HAINA MWISHO...BRIG GEN (RTD) ALAMBA NONDO ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74

Generali Mstaafu P.S.Ligate Baba Mzazi wa akina Phanuel, Obed, Vupe na Guy Ligate akiwa Mwingi wa Furaha na Mkewe Mama Ligate Baada ya Kutunukiwa Shahada ya Sheria LLB Kutoka Chuo Kikuu Huria (Open Univeristy of Tanzania) Jijini Dar-es-Salaam Weekendi hii.Generali Mstaafu Ligate alianza masomo yake hayo kama changamoto tu baada ya kuhitimu madarasa yote ya BSF Bible Study na kujikuta bado anapenda kusoma na kujiweka busy akiwa kama mstaafu. Pamoja na umri wake kuwa mkubwa na kusumbuliwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

10 years ago

Vijimambo

NAYLAH NA LISA WAKAMATA NONDO

Naylah Sebo na Lisa Shariff wakionyesha vyeti vyao baada ya kuhitimu masomo katika kiwango kinachotambulika kama 6th Grade katika shule ya msingi ya Kingsford iliyopo jimbo la Maryland nchini Marekani.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani