Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein azindua umeme Dongongwe

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika Kijiji cha Dongongwe, Mkoa wa Kusini Unguja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME KIJIJI CHA DONGONGWE KATI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua Nishati ya Umeme Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija (kutoka kulia) Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban, Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatib na Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Shein azindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibonyeza kitufe   kuzindua Mradi wa  Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Mugabe azindua kituo cha umeme

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amezindua mradi wa upanuzi wa kituo cha umeme ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Mwijage azindua mradi wa Umeme Kanda ya Kusini

Na Teresia Mhagama.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage ameanza rasmi ziara ya kikazi katika kanda ya kusini ambapo ameanza ziara hiyo kwa kuzindua rasmi transfoma yenye uwezo wa 50KVA itakayohudumia wateja 200 katika kijiji cha Maguvani wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika wilaya ya kitanesco ya Makambako, Mhandisi Abdulrahman Nyenye, amesema kuwa uzinduzi wa mradi huo ni kielelezo cha...

 

10 years ago

Habarileo

Shein: SMZ itaendelea kusambaza umeme

Dk SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Dongongwe Mkoa wa Kusini Unguja na kusema serikali ina wajibu wa kupeleka kwa wananchi huduma bora za kijamii, kiuchumi na maendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI

 Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kushoto) akisisitiza jambo, mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa umeme jua Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, Mei 17, 2020. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai akizungumza wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (mwenye kilemba-meza kuu), katika kijiji na Kata ya Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi ambapo alizindua rasmi mradi wa umeme jua Mei...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400.Kushoto ni mwakilishi wa benki ya African Development Bank(ADB) Bi Tonia Kandiero na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO Bwana Felchesmi Mramba.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa kufua umeme kutokana na gesi asilia muda mfupi baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani