Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein: Zanzibar ina mamlaka kamili

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar inayo madaraka kamili ya kuendesha nchi na kufanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na kushangazwa na watu wanaodai mamlaka yake yameporwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tayari Wahanga wa Mamlaka Kamili hao

The post Tayari Wahanga wa Mamlaka Kamili hao appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Wazanzibari wanataka mamlaka kamili

>Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibar wanaisubiri kwa hamu Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili kuona kama imezingatia masilahi na matakwa yao katika kupata mamlaka kamili ya Zanzibar.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Umoja wa wanaotaka mamlaka kamili washinda Hispania

Muungano wa vyama vinavyounga mkono uhuru wa Mkoa la Catalonia nchini Hispania umeshinda kwa idadi kubwa ya viti katika uchaguzi uliomalizika leo. Wakati karibu kura zote zikiwa zimeshahesabiwa, chama cha Junts Pel Si kinachotaka kujitenga kwa […]

The post Umoja wa wanaotaka mamlaka kamili washinda Hispania appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili?

Mohamed Said Bonyeza Audio

The post Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Cuf wazindua kampeni, Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema  kama atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikisha Zanzibar inapata mamlaka kamili.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

BY- EMMANUEL MTENGWA, MWANANCHI DIGITAL Wafuasi na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kibandamaiti Zainzibar. Picha na Said Khamis Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), […]

The post Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani