Shekau-Mabinti tuliowateka wameolewa
KIONGOZI wa Kundi la Boko Haram, Abubakar Shekau amesema wasichana wa shule 219 waliotekwa kutoka mji wa Chibok, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria mwezi Aprili wamesilimishwa na kuwa Waislamu na kisha kuozwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Zaidi ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa masuala ya elimu kwa vijana wa bara la Afrika ili waweze kufanya maamuzi sahihi ya kiafya. Mkutano huo umeandaliwa na serikali ya Ujerumani na ulifanyika huko New York tarehe 22.9.2014.
Na Anna Nkinda – Maelezo, New York
Zaidi ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18 kati ya hao milioni 15 wana umri wa kati ya miaka 10 hadi 14 jambo linalowasababisha kupata maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi na...
9 years ago
BBCShekau 'still leads' Boko Haram
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Jeshi lapuuza mkanda wa Shekau
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Shekau wa Boko Haram kama Osama
JUZI baadhi ya vyombo vya habari duniani vilitangaza taarifa za kuuawa kwa kiongozi wa kundi la wanamgambo wenye itikadi kali ya kiislamu la Boko Haram, Abubakar Shekau nchini Nigeria. Taarifa...
10 years ago
GPLMABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
Msiwaozeshe mabinti wadogo-Marombwa
Na Cecilia Jeremiah
WAZAZI na walezi wametakiwa kuacha kuwaozesha watoto wao kwa tamaa za fedha mara wanapomaliza masomo yao.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mbunge wa Kibiti, Abdul Marombwa, wakati akiwahutubia wazazi na wanafunzi wahitimu wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Mtanga.
Alisema si sahihi kwa wazazi kupokea fedha na kuwaoza watoto wao, kwani kufanya hivyo ni kukatisha malengo yao.
Mbunge huyo alisema mbali na kuwaozesha wakiwa wamemaliza masomo yao, pia kuna wengine...
11 years ago
Habarileo05 May
Mabinti wajiuza Sh. 2,000/- bustanini
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za usiku kwenye baadhi ya barabara za katikati ya mji na bustani za kupumzikia.
9 years ago
Habarileo06 Dec
Mabinti Centre wafunika Dar
WANAWAKE waliougua maradhi ya fistula hivi karibuni walionesha uwezo wao kwenye onesho la ubunifu wa mitindo ya vifaa vya mavazi ya asili ya Kiafrika la Mabinti Fashion Show katika kituo cha Mabinti , Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mabinti wauzwa ukahaba China
WATOTO wa kike wenye umri wa hadi miaka 14 wanadaiwa kufanyishwa biashara ya ukahaba China kutokana na kusafirishwa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu.