Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE YA MUUNGANO WASHINGTON, SEATTLE

 Mayor wa Seattle Amin (kushoto akiwa na Bwana Ubwa Jas katika sherehe ya Muungano iliyofanyika siku ya Jumamosi April 25, 2015 Seattle jimbo la Washington.Bi Ubwa akiwa kwenye sherehe ya Muungano iliyofanyika siku ya Jumamosi April 25, 2015 Seattle jimbo la Washington.Wadau wakiwa kwenye sherehe ya Muungano Seattle.Nick akiwa na mama mwenye nyumba wake EdithJimmy na mama mwenye nyumba wake FatmaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

Zaham Brothers Bi. Rahima J. Bi. Mwana na Bwn. Ubwa Jaha

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maandalizi ya sherehe za Muungano Washington DC


Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akizungumzia maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano ofisini kwake Washington Dc Jumatano, Aprili 23, 2014.
Photo: Sunday Shomari

 

11 years ago

Dewji Blog

Hotuba ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Muungano Washington DC

Untitled

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC.(Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog).

Ifuatayo ni hotuba ya Mhe Mwigulu Nchemba.

Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC.

Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Miaka 50 ya Muungano,jijini Washington DC

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog Ifuatayo ni hotuba ya Mhe Mwigulu Nchemba. Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC. Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

 

10 years ago

Vijimambo

PASSPORT RENEWAL SEATTLE, WASHINGTON STATE

Jumuiya ya Tanzaseattle kwa kushirikiano na wenzetu wa Portland na Idaho tulipitisha wazo la kushirikiana kumleta Ofisa wa Uhamiaji kutoka Ubalozi wetu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania uliopo Washington DC.

Watanzania mbali mbali wa maeneo tajwa wamejitokeza kujiandikisha kwa ajili ya zoezi hili. Ada ya malipo kwa ajili ya kumleta ofisa wa ubalozi kila mshiriki ni US $45. Jumuiya inatoa shukrani za dhati kwa wale wote ambao wamesha wasilisha ada hiyo. Pia Jumuiya inawaomba wale wote ambao...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE KESHO JUMATANO

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja ya Mwenyekiti wa Watanzania wa Washington-Seattle kuhusu uraia pacha

Yamekuwepo malumbano na mada nyingi kuhusu uraia pacha na jinsi ilivyo muhimu kuwa na uraia pacha kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi, na hapa namaanisha siyo ughaibuni tu hata wale waishio nchi jirani zinazotuzunguka. Pamoja na mada zote nzuri naomba kwa ruksa yenu turudi kwenye sheria yenyewe ya uraia Tanzania kama inavyojulikana kama (Tanzania citizenship Act no 6 1995).  Katika mada yangu hii naomba tujikite hasa kwenye aina ya uraia unaotambuliwa na sheria hii pamoja na lengo la...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE LEO JUMATANO

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAADA WA USAFIRISHAJI WA VIFAA VYA KIJAMII KUTOKA WASHINGTON, SEATTLE MAREKANI KWENDA ZANZIBAR

Ndugu Zangu
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu mbele yenu kuandika mada yangu tukufu kama ilivyotanjwa hapo juu.

Kwa niaba yangu binafsi, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla waliopo hapa Washington State na Nchini Marekani napenda kutumia nafasi ya kutoa maelezo ya vifaa vilivyopo hivi sasa katika Storage zetu kwa hatua kuvisafirisha kutoka Bandari ya Seattle hadi Zanzibar.

Vifaa hivi vimekusanywa na mimi kwa mashirikiano wafadhili mbali mbali waliojitolea kwa ajili ya kusaidia juhudi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani