Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA EID TAMCO ZILIZOFANYIKA MEADOWBROOK PARK

Meza kuu ikiongozwa na mwenyekiti wa TAMCO Ally Moahamed (kati) wakiwemo wawakilishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. afisa wa uhamiaji Bwn. Abbas Nissana (kulia) na Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Colonel Adolph Mutta.Mtunza fedha wa TAMCO Bi. Asha Harizi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake. Colonel Mutta akiongea machacheKwa picha zaidi bofya soma zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYAMA CHOMA NA MECHI YA VIJANA NA WAZEE DMV MAY 23 MEADOWBROOK PARK

 Timu ya Wazee Timu ya VijanaDave akimteza kipa wa Wazee Said Mwamende
Siku ya Jumamosi May 23, 2015 kutafanyika mechi kati ya wazee na vijana itakayokwenda sambamba na nyama choma katika viwanja vya Meadowbrook Park 7901 Meadowbrook Lane Chevy Chase, MD 20815.

Kwa wachezaji timu ya Wazee tafadhali wasiliana na nahodha wa timu Mude 202 644 1829
na kwa timu ya Vijana wasiliana na Yusuf 202 710 9019

 

10 years ago

Vijimambo

UKOTAK BAADA YA CHAI YA EID YA TAMCO

UKODAK WA WATANZANIA BAADA YA CHAI YA EID YA TAMCO ILIYOFANYIKA WHEATON, MARYLAND

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO


 Tembaphoto akiwa na mama mwenye nyumba wake siku ya sherehe za miaka 38 za kuzaliwa kwa CCM. Sherehe zilifanyanyika New York na kuudhuliwa na Watanzania kutoka kila pande za Marekani. Na Mhe.Ridhiwani Jakaya ambae ni mbunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama tawala CCM kuudhulia na kutoa hotuba kama mgeni rasmi wa sherehe hiyo. Hapa ni Miss Maundi katibu wa vijana wa CCM New York akipata ukodak juu ya zuria jekundu
 Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY


Watatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa tamco Bw. Ali Mohamed akifutiwa na muasisi alietowa wazo la kuanzishwa jumuiya ya waislam ya watanzania  waishio washington DC na vitongoji vyake, mzee Yussf Kalala wa nne kutoka kulia, wakiwa na baadhi ya viongozi wengine katika siku ya TAMCO FAmily Day
Muasisisi wa TAMCO, Mzee Yussuf Kalala akiwakaribisha meza kuu Ali kiba na mdogo wake Abdu Kiba kuwasalimia watanzania waliohudhuria katika TAMCO Family Day TAMCO Family Day hufanyika kila mwaka kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Eid DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid...

 

9 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA EID DMV

 Watanzania wa DMV na marafiki zao walijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015 Silver Spring, Maryland.Watanzania waliojumuika pamoja leo kusherehekea sikukuu ya Eid El Haji Silver Spring, Maryland siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015.Mama wa mitindo kutoka Tanzania Asya Idarous Khamsini(wapili toka kushoto) akiwa miongoni wa waliojumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid DMV kulia ni binti ya mwanamitindo huyo.Sala ya Magharibi ikiendelea


 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA EID DMV‏

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV (kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu Julai 28, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja… ...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA EID EL FITR DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid iliyofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani