Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MUUNGANO DMV.


JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA KUJUMUIKA NA MHE.MSTAAFU RAIS ALI HASSAN MWINYI, KATIKA KUADHIMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO JUMAMOSI TAREHE 25 Aprili 2015 SHEREHE HIZO ZITAAMBATANA NA BBQ SAA 8:00 MCHANA NA KUFWATIWA NA   MECHI YA MPIRA KATI YA TANZANIA BARA NA VISIWANI SAA 12:30 JIONIANUANI 8001 WALKER MILL RD,DISTRICT HEIGHTS MD,20747SHUKRANI KWA WADHAMINI THE PEOPLE’S BANK OF TANZANIA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA MUUNGANO DMV

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly na mweka hazina wake Bi. Jasmine Rubama wakiweka mahesabu sawa siku ya sherehe ya Muungano April 25, jioni iliyofanyika Beltsville, Maryland.Wadau mbalimbali waliohudhuria sherehe hiyo wakipata picha ya pamoja.Wadau wakipata ukodak moment.Wadau waliohudhuria sherehe hiyo wakipata picha ya pamoja.Watanzania wakijumuika pamoja na kupata picha ya kumbukumbu siku ya sherehe ya Muungano DMV iliyofanyika Jumamosi April 25, 2015 Beltsville,...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI AWAASA WANA DMV KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO

Embassy pics 016Mh.Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Liberata Mula mula akizungumzia maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano ofisini kwake Washington Dc Jumatano, Aprili 23, 2014. Embassy pics 037Mwenyekiti mwenza wa kamati ya maandalizi afisa ubalozi Suleiman Saleh akijibu maswali ya mabloger wa DMV,kulia kwake ni Dickson Mkama wa Swahili TV blog. Embassy pics 018Mh, balozi akijibu maswali kushoto ni Sunday Shomari na kulia kwa balozi ni Mubelwa Bandio wa Kwanza production. Embassy pics 007Mh.balozi akishauriana jambo na mkuu wa kitengo cha...

 

9 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA EID DMV

 Watanzania wa DMV na marafiki zao walijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015 Silver Spring, Maryland.Watanzania waliojumuika pamoja leo kusherehekea sikukuu ya Eid El Haji Silver Spring, Maryland siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015.Mama wa mitindo kutoka Tanzania Asya Idarous Khamsini(wapili toka kushoto) akiwa miongoni wa waliojumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid DMV kulia ni binti ya mwanamitindo huyo.Sala ya Magharibi ikiendelea


 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Eid DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA EID DMV‏

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV (kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu Julai 28, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja… ...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA EID EL FITR DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid iliyofanyika...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA DMV

Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Abbas Missana akitoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania DMV na marafiki zao kwa niaba ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Wanajumuiya wanaojitoa katika majukumu mbalimbali ya Jumuiya wakipatiwa vyeti.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani