Shibuda ajitoa Chadema kiaina
MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda (Chadema), amesema hatagombea ubunge kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwa kuwa amechoshwa na kauli za vitisho na kejeli dhidi yake, zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Shibuda ‘ajifukuza’ CHADEMA
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kikijipanga wakuchukulia hatua wabunge wake waliosaliti msimamo wa Kamati Kuu na kuhudhuria vikao vya Bunge la Katiba, Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
CHADEMA kuwatosa Shibuda, Arfi, Leticia
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawafukuza wabunge wake, John Shibuda (Maswa Magharibi), Said Arfi (Mpanda Mjini) na Leticia Nyerere (Viti Maalum) baada ya kujiridhisha kwamba wameshiriki vikao...
10 years ago
Daily News18 Aug
Shibuda denies Chadema ditching report
Daily News
Daily News
A LAWMAKER, Mr John Shibuda, has refuted allegations that he is about to form a new party and decamp from his current Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) party. Shibuda, who is a member of one of the parties forming the so-called ...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Mabondia kuukaribisha mwaka kiaina
MABONDIA Selemani Galile ‘Selemani Toll’ na Zumba Kukwe wanatarajia kupanda ulingoni Januari 2, 2016 katika mpambano wa kufungua mwaka katika Ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Ngassa arejea Yanga kiaina
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Tambaza: Msikubali kumalizana kiaina
UONGOZI wa Kampuni ya Tambaza Auction Mart umesema una mkataba wa kufanya kazi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi kuheshimu sheria na kutokukubali kumalizana vichochoroni wanapokamatwa...
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
UKAWA waisifu mahakama kiaina
SIKU moja baaada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kushindwa kutoa uamuzi kuhusu aina na ukubwa wa mabadiliko ambayo Bunge Maalumu linaweza kufanya, kundi la Umoja wa Katiba...
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Mbatia ajipigia kampeni ‘kiaina’
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Mo arejea kiaina, apeleka neema