Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia ajipigia kampeni ‘kiaina’

 Ikiwa imebaki siku moja Chama cha NCCR-Mageuzi kufanya uchaguzi mkuu, Mwenyekiti wake, James Mbatia amewataka wanachama kuchagua viongozi wenye maarifa na uzoefu, huku akieleza sifa nne anazotakiwa kuwa nazo mgombea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sitta akana kutumia #Bunge la Katiba kusaka Urais 2015, ajipigia debe kiaina[VIDEO]

Wakati joto la Urais mwakani likizidi kuongezeka nchini, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta ameweka wazi kuwa hana nia ya kuwania Urais kwa kutumia kigezo cha kuongoza Bunge hilo maalum.

 

9 years ago

Michuzi

MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Vijimambo

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc.
Kikosi cha timu ya Himo fc.Kikosi cha timu ya Wazalendo fc.Heka heka zikiendelea...

 

11 years ago

Mwananchi

Makamba ajipigia debe la urais

Katika kile kinachoonekana kama kujipigia debe katika kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewaambia viongozi wa dini Kanda ya Ziwa kwamba vijana wanapofika kuomba ridhaa yao, muwaangalie, msiwabeze.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira ajipigia mstari mbio za urais

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amesema kama chama chake, CCM, kitampa fursa ya kuwania wadhifa wa urais, atasimama kwenye mstari wa uadilifu na ufanisi ili kulinda heshima ya cheo hicho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bilawal Bhutto ajipigia debe Pakistan

Mwana wa kiume wa aliyekuwa waziri mkuu wa Pakistan Benazir Butto amesema ataliangamiza kundi la Taliban nchini Pakistan.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngassa arejea Yanga kiaina

Mshambuliaji Mrisho Ngassa aliyesajiliwa na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini hivi karibuni, jana aliibuka katika mazoezi ya timu yake ya zamani Yanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Mo arejea kiaina, apeleka neema

Mdau mkubwa wa Simba na ambaye amewahi kuwa mdhamini wa klabu hiyo miaka ya nyuma, Mohamed Dewji ‘Mo’ yupo kwenye mpango wa kurudi na kuidhamini klabu hiyo na tayari ametuma picha za jezi mpya za Simba kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA waisifu mahakama kiaina

SIKU moja baaada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kushindwa kutoa uamuzi kuhusu aina na ukubwa wa mabadiliko ambayo Bunge Maalumu linaweza kufanya, kundi la Umoja wa Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani