Shibuda amwangukia JK kuhusu Muungano
>Rais Jakaya Kikwete, ameombwa katika hutuba yake ya kuzindua Bunge la Katiba, atoe msimamo wake juu ya Muundo wa Muungano, badala ya kuwa na msimamo wa makundi ya kisiasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Zitto Kabwe, MB21 Apr
Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho
Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho
Zitto Kabwe, Mjumbe, BMK
Iwapo Tanzania ni Shirikisho (Federation) au ni Muungano (Union) ni jambo ambalo limekuwa likuzua utata kwa miaka mingi. Hivi sasa katika vikao vya Kamati za Bunge maalumu la Katiba jambo hili limezua mjadala mkubwa ambapo baadhi ya Wajumbe wanapendekeza kuwa neno Shirikisho litoke kwenye sura ya kwanza ya Rasimu ya Katiba na wengine wakipendekeza libakie au hata kuweka wazi kabisa kuwa Tanzania ni Jamhuri ya Shirikisho la...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mtazamo wa Nyerere kuhusu Muungano
MWAKA 1995, wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi, Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Maoni ya wananchi kuhusu Muungano
JUMATANO iliyopita tulichapisha mojawapo ya hotuba za Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 kuhusu Muungano. Kwa mtazamo wake, Muungano ukivunjika, matokeo yake ni kusambaratika kwa Watanganyika...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Masharti kuhusu fedha za Jamhuri ya Muungano
10 years ago
Habarileo24 Mar
Vuai aionya CUF kuhusu Muungano
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar, Vuai Ali Vuai amekitahadharisha Chama cha Wananchi (CUF) kijue kwamba Muungano ukivunjika basi Zanzibar nayo haitokuwa salama na itasambaratika.
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Warioba afichua siri ya JWTZ kuhusu Muungano
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametoa siri ya msimamo wa majeshi ya Tanzania kuhusu muundo wa Muungano wa sasa. Jaji Warioba ametoa siri hiyo...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Ikulu yaja juu kuhusu Hati ya Muungano
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue.
TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014
Siku 12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wamezaliwa watu ndani ya Muungano huu na wengine wana wajukuu.
Inasikitisha sana kuwa leo, miaka 50 baadaye ipo dhana potofu inayojengwa kuwa Muungano huu si...
11 years ago
Dewji Blog03 May
Audio ya mahijiano na Profesa Boas kuhusu muungano
![Untitled 000](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Untitled-000.jpg)
Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani.
Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni Mwalimu wa Mawasiliano na Sera (Communication and Public Policy) University of Maryland University College Washington DC.