SHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VITATU VIPYA KATIKA OFISI ZA GLOBAL
Mkurugenzi wa Global Publishers LTD, Shigongo Eric James (kulia), akishikilia vitabu vyake baada ya kumpatia jukumu la uzinduzi huo Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Kampuni hiyo, Oscar Ndauka. Tukio hilo limefanyika mapema leo ndani ya jengo la ofisi za GlobalPublishers zilizoko Mwenge-Bamaga jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kulia), akiwa amenyanyua moja ya vitabu hivyo baada ya zoezi la kukata utepe wa uzinduzi kukamilika. Katikati ni mtunzi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VIWILI VIPYA KATIKA OFISI ZA GLOBAL
10 years ago
GPLSHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VIPYA MAREKANI
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DR452U7PFC0wmviAZVXI1BQxzxiuCrVCXcD-223k7eWGRCjhOBZQ1ZmShk7fV7rhV-0mjruoNvoxxrn*mkB-Ztj/TangazoTangazoSababsaba.jpg?width=750)
9 years ago
Bongo528 Oct
Picha: Cristiano Ronaldo aonesha viatu vyake vipya vya CR7
10 years ago
GPLSHIGONGO AZINDUA SEMINA YA UJASILIAMALI TANDALE-DAR
10 years ago
GPLSHIGONGO AHIMIZA UPENDO NA BIDII KWA WAFANYAKAZI GLOBAL
11 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS WAMFANYIA ‘SAPRAIZ YA BETHIDEI’ SHIGONGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqwuiLynzLaAxgBZb7E3ai*4qX4o1ENtkA24DhI9V*8qrduiD2KcKnshhbLWCH6gxRNUy9cnK9iR07WiWGPXSJkq/SHIGONGONAWAFANYAKAZI1.jpg?width=650)
ERIC SHIGONGO AONGEA NA WAFANYAKAZI WA GLOBAL, AWAPA MBINU ZA UJASIRIAMALI