Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIJA ATONGOZWA NA SHOGA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutongozwa na shoga. Deogratius Shija. Akitema mbili tatu na paparazi wetu, Shija alisema tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Ukumbi wa Traventine-Magomeni, Dar ambapo alitoka na kwenda msalani akiwa hajui hili wala lile alishtuka baada ya kumsikia mwanaume akimpapasa huku akimwambia kuwa anampenda....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

IPPmedia

Dr William Shija


IPPmedia
Dr William Shija
IPPmedia
The Parliament has been urged to formulate specific laws that will help legislators to oversee government budget expenditures and the imposing of punishment against civil servants abusing public funds. This was said on Monday by the Secretary General of ...

 

10 years ago

Michuzi

DR WILLIAM SHIJA R.I.P

I am saddened by   the untimely  death  of  Dr  William  Shija  , Baba, a  friend and  above  all  a  diplomat.I  had  known  Dr  William  Shija. Since  his  appointment  as  the  secretary  General in  London, by  then I  was   a sitting  journalist  covering   the  British  houses  of  Parliament and  the  West  Minister  Village,  clicked instantly  and  I had the honour to being   the  first  journalist  to  interview  him  since  he was  the  The  first  ethnic  Minority  person  to ...

 

11 years ago

GPL

SHIJA: SITEMBEI NA MASTAA

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Deogratius Shija amesema katika maisha yake hafikirii kutoka kimapenzi na mwanamke yoyote ambaye ni msanii hususani kuingia naye katika maisha ya ndoa. Deogratius Shija. Akizungumza na paparazi wetu alisema, kamwe hawezi kukurupuka akajiingiza mkenge kumuoa msanii kwa kuwa hana imani na wasanii wa kike na hajawahi kujihusisha nao kimapenzi, kwani  mastaa wengi ni walaghai...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shija Amshirikisha Kajala

Muigizaji na muongozaji wa filamu, Deogratious Shija amekuja na filamu mpya ya ‘Love and Pain’ ambayo imetoka wiki iliyopita akimshirikisha Kajala Masanja.

Shija ameeleza kuwa filamu hiyo inahusu mapenzi na imekuja ili kuvunja kimya chake cha mudda mrefu kitu ambacho kinafanya mashabiki wake kujua kuwa ameishiwa kisanaa.

Shija amesema katika  filamu hiyo amewashirikisha wakali kama Hemmed PHD, Kajala na Yvone Bigilwa.

 

10 years ago

GPL

SHIJA AMWANIKA MWANAYE

Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija akiwa na mwanaye, Theresia Shija (14). Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija amemwanika mwanaye na kudai ndiye faraja kwake kila anapomuona. Shija alisema mwanaye aliyemtaja kwa jina la Theresia Shija (14), amekuwa ni faraja kubwa katika maisha yake na kila anapomwangalia anapata nguvu ya kufanya kazi. “Ukweli nimekuza,...

 

10 years ago

GPL

MAPACHA WA SHIJA WAIBUKA!

Mapacha wa waliopata umaarufu kupitia kwa mwigizaji, Deogratius Shija, Christina Mroni na Regina Mroni wakiwa kwenye pozi.
Mwandishi wetu
Vunja ukimya! Baada ya kupotea kwa muda mrefu kwenye sanaa ya filamu Bongo, mapacha wa waliopata umaarufu kupitia kwa mwigizaji, Deogratius Shija, Christina Mroni na Regina Mroni, wameibuka na kueleza sababu iliyowapoteza kuwa walikuwa wanalea. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mmoja wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Tanzania’s Shija injured

The East and Central Africa light-middleweight kick-boxing title bout between Tanzanian Emmanuel Shija and Ugandan Moses Golola was declared no contest after the former was seriously injured in the first round.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani