SHIJA: SITEMBEI NA MASTAA
![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-2YZ-tAVvtAlJzECsodfQ1Kcc0tr6lnRxarJL1OsX-cD-QbvVTBLB2acr2LuHWhCVDYFiVvZWhopL0gwfjqxaQf/shija.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Deogratius Shija amesema katika maisha yake hafikirii kutoka kimapenzi na mwanamke yoyote ambaye ni msanii hususani kuingia naye katika maisha ya ndoa. Deogratius Shija. Akizungumza na paparazi wetu alisema, kamwe hawezi kukurupuka akajiingiza mkenge kumuoa msanii kwa kuwa hana imani na wasanii wa kike na hajawahi kujihusisha nao kimapenzi, kwani mastaa wengi ni walaghai...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVHtLZ4INT44dTXtu4vRQ24IIXA6Fmfb5ady93QauAZOiRryzEcEax4gBxzDG5HJar4UcEY21qbhJLJZvBXhiCXm/3.jpg?width=650)
‘EE MUNGU SITEMBEI TENA, NASUBIRI KIFO CHANGU TU’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZkPDw4ctz54/VDRqYDeT6WI/AAAAAAAGol8/XXFPOhdTgTU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
DR WILLIAM SHIJA R.I.P
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZkPDw4ctz54/VDRqYDeT6WI/AAAAAAAGol8/XXFPOhdTgTU/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
11 years ago
IPPmedia28 May
Dr William Shija
IPPmedia
IPPmedia
The Parliament has been urged to formulate specific laws that will help legislators to oversee government budget expenditures and the imposing of punishment against civil servants abusing public funds. This was said on Monday by the Secretary General of ...
10 years ago
GPLMAPACHA WA SHIJA WAIBUKA!
10 years ago
Michuzi10 Oct
10 years ago
Bongo Movies26 May
Shija Amshirikisha Kajala
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Deogratious Shija amekuja na filamu mpya ya ‘Love and Pain’ ambayo imetoka wiki iliyopita akimshirikisha Kajala Masanja.
Shija ameeleza kuwa filamu hiyo inahusu mapenzi na imekuja ili kuvunja kimya chake cha mudda mrefu kitu ambacho kinafanya mashabiki wake kujua kuwa ameishiwa kisanaa.
Shija amesema katika filamu hiyo amewashirikisha wakali kama Hemmed PHD, Kajala na Yvone Bigilwa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2IXi1S9FdAT7VOurdPj-e0Szn6Yy8eDkHISIDy4HP3rh3nX7MukIF9gXBTG7ULDRma47EWBMJys6HxphTPWFd3m/shija.jpg?width=650)
SHIJA ATONGOZWA NA SHOGA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FkLMylrJqnXLtJTOmalPLI1tDSkPwg7WqHmcV7cjCxeQfaMJkGjVH2uWul1n1VYRhPKJQhjT5F2hIjYplOZgEYND38HfidlG/IMG20150120WA0000.jpg)
SHIJA AMWANIKA MWANAYE