MAPACHA WA SHIJA WAIBUKA!
Mapacha wa waliopata umaarufu kupitia kwa mwigizaji, Deogratius Shija, Christina Mroni na Regina Mroni wakiwa kwenye pozi. Mwandishi wetu Vunja ukimya! Baada ya kupotea kwa muda mrefu kwenye sanaa ya filamu Bongo, mapacha wa waliopata umaarufu kupitia kwa mwigizaji, Deogratius Shija, Christina Mroni na Regina Mroni, wameibuka na kueleza sababu iliyowapoteza kuwa walikuwa wanalea. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mmoja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAPACHA WA SHIJA WAWACHANGANYA MABWANA
10 years ago
VijimamboTUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...
10 years ago
MichuziDR WILLIAM SHIJA R.I.P
11 years ago
IPPmedia28 May
Dr William Shija
IPPmedia
Dr William Shija
IPPmedia
The Parliament has been urged to formulate specific laws that will help legislators to oversee government budget expenditures and the imposing of punishment against civil servants abusing public funds. This was said on Monday by the Secretary General of ...
11 years ago
GPLSHIJA: SITEMBEI NA MASTAA
10 years ago
TheCitizen16 Nov
Tanzania’s Shija injured
10 years ago
Bongo Movies26 May
Shija Amshirikisha Kajala
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Deogratious Shija amekuja na filamu mpya ya ‘Love and Pain’ ambayo imetoka wiki iliyopita akimshirikisha Kajala Masanja.
Shija ameeleza kuwa filamu hiyo inahusu mapenzi na imekuja ili kuvunja kimya chake cha mudda mrefu kitu ambacho kinafanya mashabiki wake kujua kuwa ameishiwa kisanaa.
Shija amesema katika filamu hiyo amewashirikisha wakali kama Hemmed PHD, Kajala na Yvone Bigilwa.
10 years ago
Michuzi10 Oct
11 years ago
GPLSHIJA ATONGOZWA NA SHOGA