Shilole alivyowaalika mastaa nyumbani kwake… (+Picha)
Ilikua ni time ya watu wa nguvu kukutana na kuenjoy Dec 28, 2015 ambapo kumbukumbu yake imeandikwa na furaha zilizotokea kwenye House Party iliyofanyika kwa Shilole na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mastaa. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg […]
The post Shilole alivyowaalika mastaa nyumbani kwake… (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKto8*7Wj47iYeFvfzMJCaKHxtPGALyLkvq-y8puV*ezNoXEq3Kq10f53hvzNfBgQigKDfvkdpR7bl09kdux*p88b/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE AWACHANA MASTAA WABEBA UNGA
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Shilole alivyoifanya party isiyo na jina nyumbani kwake (video)
Msanii wa bongofleva December 28 2015 alifanya party nyumbani kwake lakini akasema party hiyo ambayo imefanyika kwenye huu mwezi ambao ni mwezi wake wa kuzaliwa haina jina, unaweza kutazama ilivyokua kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda […]
The post Shilole alivyoifanya party isiyo na jina nyumbani kwake (video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
CloudsFM03 Dec
10 years ago
Bongo Movies29 May
Sakata la Zile Picha Chafu za Shilole Latinga Bungeni
Lile sakata la picha zisizo za maadili za Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,Shilole alizopigwa nchini Ubelgiji akiwa kwenye shoo yake zimejadiliwa bungeni mjini Dodoma.
Naibu waziri wa wizara ya Habari,Vijana na Utamaduni na Michezo,Juma Nkamia aliamua kuomba radhi jana kwa niaba ya serikali kufuatia kitendo cha msanii huyo kuvaa nguo zisizo za maadili jukwaani.
Hivi karibuni baadhi ya picha za msanii huyo zilizagaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa jukwaani amevaa mavazi ambayo...
9 years ago
Bongo517 Nov
AFRIMA 2015: Picha za mastaa mbalimbali wa Afrika waliohudhuria
![Afrima pic-15](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Afrima-pic-15-300x194.png)
Tuzo za AFRIMA 2015 zilizofanyika Jumapili ya Novemba 15 jijini Lagos, Nigeria zilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa Afrika wakiwemo wasanii waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali.
Kutoka Afrika Kusini ma-rapper wenye ushindani mkubwa Cassper Nyovest na AKA walikuwepo, Kutoka Afrika Mashariki Victoria Kimani, Sauti Sol, Diamond, Vanessa Mdee na Linah pia ni miongoni mwa waliohudhuria.
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa waliohudhuria.
Photo Credit: Instagram & Twitter –...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake
Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii.
Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa...