Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE AWACHANA MASTAA WABEBA UNGA

Stori: Shani Ramadhani
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewachana wasanii wanaojihusisha na madawa ya kulevya kuwa ni wavivu. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na paparazi wetu pasipo kuwataja majina, Shilole alisema wasanii wengi ni wavivu na kinachowaponza zaidi ni tamaa za kuwa na maisha mazuri, wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi pasipo kuhangaika. “Wanafikiri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nimewahi kushawishiwa nisafirishe unga — Shilole

shilole-2

Shilole amekanusha kujihusisha na kusafirisha madawa ya kulevya katika safari zake za nje lakini amekiri kuwahi kushawishiwa kufanya hivyo.

shilole-2

Muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa alikataa mtego huo kwakuwa hakupenda kuhatarisha maisha yake.

“Kiukweli ushawishi upo niache kusema uongo lakini kwa sababu binafsi na akili zangu timamu na najua nini nafanya basi huwa naweka tamaa pembeni na kuangalia kitu ambacho kina mwendelezo na maisha yangu,” alisema.

“Nikiwaangalia...

 

9 years ago

MillardAyo

Shilole alivyowaalika mastaa nyumbani kwake… (+Picha)

Ilikua ni time ya watu wa nguvu kukutana na kuenjoy Dec 28, 2015 ambapo kumbukumbu yake imeandikwa na furaha zilizotokea kwenye House Party iliyofanyika kwa  Shilole  na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mastaa. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg […]

The post Shilole alivyowaalika mastaa nyumbani kwake… (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

DOTNATA AWACHANA WANAOMCHUKIA WEMA

Na Shani Ramadhani MJASIRIAMALI na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, waache. Mjasiriamali na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’. Akipiga stori na paparazi wetu Dotnata alisema anakerwa sana na watu wanaokuwa na chuki na mwigizaji...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kitale Awachana ‘Bongo Movies’

Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za  Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa  kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia  rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.

Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani