Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nimewahi kushawishiwa nisafirishe unga — Shilole

shilole-2

Shilole amekanusha kujihusisha na kusafirisha madawa ya kulevya katika safari zake za nje lakini amekiri kuwahi kushawishiwa kufanya hivyo.

shilole-2

Muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa alikataa mtego huo kwakuwa hakupenda kuhatarisha maisha yake.

“Kiukweli ushawishi upo niache kusema uongo lakini kwa sababu binafsi na akili zangu timamu na najua nini nafanya basi huwa naweka tamaa pembeni na kuangalia kitu ambacho kina mwendelezo na maisha yangu,” alisema.

“Nikiwaangalia...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHILOLE AWACHANA MASTAA WABEBA UNGA

Stori: Shani Ramadhani
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewachana wasanii wanaojihusisha na madawa ya kulevya kuwa ni wavivu. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na paparazi wetu pasipo kuwataja majina, Shilole alisema wasanii wengi ni wavivu na kinachowaponza zaidi ni tamaa za kuwa na maisha mazuri, wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi pasipo kuhangaika. “Wanafikiri...

 

10 years ago

BBCSwahili

David Luiz:'Nimewahi kushiriki ngono'

Mlinzi wa klabu ya PSG David Luiz amevishtumu vyombo vya habari kwa kukosa heshima baada ya kukanusha madai kwamba yeye hajawahi kushiriki katika tendo la ngono.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...

 

10 years ago

Bongo5

Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)

Licha ya kuwa Shilole amefanikiwa zaidi kwenye muziki, lakini ameweka wazi kuwa hajaitupa kabisa fani yake ya uigizaji ambayo alianza nayo kabla ya muziki. Akizungumza kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm wakati akitambulisha wimbo wake mpya Dec.15, amesema kuwa bado anajipanga na atakuja kutoa filamu yake mpya siku za usoni. “Saizi nimejikita sana […]

 

10 years ago

GPL

WEMA ANABWIA UNGA!

Musa Mateja
PAMOJA na mwenyewe kukanusha kuwa si mtumiaji wa madawa ya kulevya (unga), watu wanazidi kusema eti supastaa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’ anatumia unga, Risasi Jumamosi limesheheni data. Supastaa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’. UBUYU WAVUJISHWA
Kwa mujibu wa chanzo makini, Wema amekuwa akitumia kilevi hicho kwa muda mrefu huku akifanya jambo hilo kwa siri...

 

11 years ago

Mwananchi

Abambwa na unga JNIA

Mtanzania mwenye uraia wa Oman, Hafidh Hilary (37) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na kete 61 za heroine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani