Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abambwa na unga JNIA

Mtanzania mwenye uraia wa Oman, Hafidh Hilary (37) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na kete 61 za heroine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWALIMU ABAMBWA AKIJIUZA

Na Waandishi Wetu
AIBU! Wakati Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya...

 

10 years ago

GPL

DAKTARI ABAMBWA NA MAITI DUKANI

UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa Jibuli Mahende, mkazi  Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na kumsababishia kifo chake, Uwazi linakupa mkasa huo kwa kina. Bw.Prosper Samson anayedaiwa kuwa ni daktari feki, akiwa nyumbani kwake. Habari zinadai kuwa,… ...

 

9 years ago

Michuzi

MWANAJESHI FEKI ABAMBWA KIGOMA

Mwanajeshi feki wa jeshi la wananchi(JWTZ)amekamatwa leo Mkoani Kigoma akiwa amevaa sare za jeshi hilo.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Fednandi Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo feki alikamatwa jana eneo la kazuramimba katika Wilaya ya uvinza.
Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo alitambulika kwa jina la James Charles miaka 27 mkazi wa kijiji cha Nyamori alikamatwa baada ya kuwepo kwa taarifa kutoka kwa raia wema juu ya utapeli...

 

10 years ago

Habarileo

Padri feki abambwa baada ya kusalisha

Leonard PaulJESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri.

 

11 years ago

GPL

ABAMBWA AKIIBA KANISANI, AGEUZWA BUCHA!

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela
KIOJA! Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta akipokea kipigo ‘hevi’ baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha Theofilo Kisanji ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dar. Emmanuel baada ya kupokea kichapo cha nguvu kutoka kwa wanachuo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kanisani hapo, mchana kweupe...

 

10 years ago

GPL

RAIS WA CHUO ABAMBWA NA MAMILIONI CHUMBANI

STORI: Waandishi Wetu/Amani KIMENUKA! Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE), Ramadhan Kirungi amejikuta akiwa korokoroni ya Kituo cha Polisi cha Daraja la Salenda jijini Dar baada ya kudaiwa ‘kufoji’ saini ya benki ya wanachuo na kuchota shilingi milioni 31. Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE), Ramadhan Kirungi. Kwa mujibu wa chanzo makini, wizi huo unadaiwa kubainika baada...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ABAMBWA MAKABURINI AWE KAMA WEMA NA LULU

Stori:  Waandishi wetu
Ulozi! Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’ amenaswa makaburini akiwanga katika kile kinachodaiwa kuwa ni kutekeleza masharti ya ‘sangoma’ ili ajipatie umaarufu na kuwafikia mastaa kama Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Massawe na Elizabeth Michael ‘Lulu’. Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’. Kwa mujibu wa shuhuda wetu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Upanuzi wa JNIA hatihati

Awamu ya kwanza ya upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) ipo katika hatihati na huenda isikamilike kwa wakati kutokana na Serikali kushindwa kutoa kiasi cha Sh89 bilioni ilizoahidi katika bajeti yake ya mwaka 2013/14.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani