DAKTARI ABAMBWA NA MAITI DUKANI
![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5Rmpl-XF0QCi3aOHvpA3CIaUdfMYdKK5glStBQJNVj3CI8vD*5fq-Czr5FWfV*j4Nk3YKPMfJdJukQuptW5HOnybN/DKTR.jpg?width=650)
UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa Jibuli Mahende, mkazi Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na kumsababishia kifo chake, Uwazi linakupa mkasa huo kwa kina. Bw.Prosper Samson anayedaiwa kuwa ni daktari feki, akiwa nyumbani kwake. Habari zinadai kuwa,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Nov
Wanafamilia washitakiana,wagombea maiti ya daktari
WANAFAMILIA ya daktari mstaafu, Cleophas Senga (80) aliyekuwa mkazi wa Chanji Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ambaye kwa sasa ni marehemu, imefikishana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Sumbawanga, wakigombea maiti ya baba yao kwa muda wa siku tano sasa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQLoMk-LCO1ms0LMyPSR09XE8RpDHDQ-YjmztLtto43mZBuWPo2DDYf*GutlUS--K5FhxvFRtif8RPQyQKhn*Raf/mwalimu.jpg?width=650)
MWALIMU ABAMBWA AKIJIUZA
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Abambwa na unga JNIA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QrXJJ3opWkU/Vjc72W77YpI/AAAAAAAID5Y/kClZffxD6_A/s72-c/20151102022546.jpg)
MWANAJESHI FEKI ABAMBWA KIGOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-QrXJJ3opWkU/Vjc72W77YpI/AAAAAAAID5Y/kClZffxD6_A/s640/20151102022546.jpg)
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Fednandi Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo feki alikamatwa jana eneo la kazuramimba katika Wilaya ya uvinza.
Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo alitambulika kwa jina la James Charles miaka 27 mkazi wa kijiji cha Nyamori alikamatwa baada ya kuwepo kwa taarifa kutoka kwa raia wema juu ya utapeli...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2ppKWr4SkD9KD0MEcpAAZ9gvIrX9f3ee9iGCpeObIJfLFsylXvHLeRlE-Zin*KV7jpI1*NOtxIW4oMhTlaa2WPaG/mwizi.jpg?width=650)
ABAMBWA AKIIBA KANISANI, AGEUZWA BUCHA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-2wyRe1DF8m4GyGgC0iDZyTpdwRn6JpfAmBgyXasUewb7mRLtNVNc-clGZogJcS91bSQy-VIDueRUxEEecdAoOm/Kirungi.jpg)
RAIS WA CHUO ABAMBWA NA MAMILIONI CHUMBANI
10 years ago
Habarileo07 Mar
Padri feki abambwa baada ya kusalisha
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycNX-4H2V46BAb5VLsC62N5u-ZRE9Clovc8i4-kKXu2YUUVHeNKxCKd4jddRR0OL9V-0SJLsMOmUgKQw6pS5w4cg/abambwa.jpg?width=650)
MSANII BONGO MUVI ABAMBWA MAKABURINI AWE KAMA WEMA NA LULU
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Km4umKKk0o/U7Edip-UOAI/AAAAAAAFtlY/fANJIYOhkxA/s72-c/unnamed+(5).jpg)
KITAA WEAR (DUKANI)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Km4umKKk0o/U7Edip-UOAI/AAAAAAAFtlY/fANJIYOhkxA/s1600/unnamed+(5).jpg)
1. Namba ya Simu 2. Wapi Ulipo, kama upo Dar utaletewa ulipo ukiishalipia mkoani tutatuma kwa njia ambayo kwako ni rahisi kukufikia 3. Aina ya T-Shirt , kwenye advert nimeweka number chagua number ya tshirt uliyoipenda 4. Size 5.Price 20,000/=
Payments through Mpesa 0754310202 NB: Ukinunua kuanzia T-Shirt 5 bei ni 18,000/= T-Shs Pia gharama za kutuma mzigo mkoani ni za mteja Dar es salaam napatikana jengo la science na...