SHILOLE SIKIO LA KUFA
![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg2y4OIb6Wke8X0pjbtPN4B-o0Qmd5beTGsuu1LoFU2ZS180jwpjt09NOICufrkXJVjL4Oop0Dgb5ExqBumcxyHe/shilole.jpg?width=650)
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedhihirisha kuwa ni sikio la kufa baada ya kusema yeye ni miongoni mwa wanawake wanaojua kuchuna mabuzi. Kauli hiyo imechochea vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana amempuuza....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Simba sikio la kufa
TIMU ya soka Simba jana ilishindwa kutamba mbele ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), huku beki Nassor Masoud ‘Chollo’ akikosa penalti dakika za majeruhi.
Simba ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa, kwani licha ya kumtimua Mzambia Patrick Phiri kwa kuonekana mzigo na kuwa na kocha mpya Msebia, Goran Kuponovic, lakini suala hilo si tiba kwa timu hiyo yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaFLLf2sWG7u37IwBcn56sz3JqMBKjzysdAe8x4MZuOXtHkxcyQllhn4OEe-a1sMkMR**9tUNP7OZZkLuCOWlebX/aunty.jpg)
AUNT: SIKIO LA KUFA!
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Bunge hili ni kama sikio la kufa
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Zitto ni sikio la kufa lisilosikia dawa?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMaVygueAjZtYD7inQFcrl95K29RYuiudAMpq4uWfOzQOODXlOYLUg-HOz8lk7k2VDK9JM3Kp7m28XOC8zOxlHar/mwanza.jpg)
UWANJA WA NDEGE MWANZA SIKIO LA KUFA
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Tumechoka, sikio la kufa lisikie dawa sasa
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Tumechoka kweli, sikio la kufa lisikie dawa sasa
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...