Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba sikio la kufa

3TIMU ya soka Simba jana ilishindwa kutamba mbele ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), huku beki Nassor Masoud ‘Chollo’ akikosa penalti dakika za majeruhi.
Simba ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa, kwani licha ya kumtimua Mzambia Patrick Phiri kwa kuonekana mzigo na kuwa na kocha mpya Msebia, Goran Kuponovic, lakini suala hilo si tiba kwa timu hiyo yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHILOLE SIKIO LA KUFA

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedhihirisha kuwa ni sikio la kufa baada ya kusema yeye ni miongoni mwa wanawake wanaojua  kuchuna mabuzi. Kauli hiyo imechochea vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana amempuuza....

 

10 years ago

GPL

AUNT: SIKIO LA KUFA!

Stori: Musa Mateja
LICHA ya kushauriwa na daktari kuhusu kutulia na kutovaa viatu virefu kutokana na ujauzito, mwigizaji Aunt Ezekiel ameonekana kuwa ni sikio la kufa kwani ameendelea kuvaa kama kawaida.Aunt aliendeleza ubishi huo Jumatano iliyopita mjini Dodoma alipokuwa amekwenda katika Pati ya Good Bye 2014 iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame ambapo mashabiki walimshuhudia Aunt akiwa amevaa kigauni kifupi pamoja na...

 

10 years ago

GPL

UWANJA WA NDEGE MWANZA SIKIO LA KUFA

Stori: Mwandishi wetu
Katika gazeti hili toleo namba 1151 la Septemba 27-30, 2014 kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho; ‘UGAIDI BONGO’ AL-SHABAAB WATAKAVYOTUMIA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA KUTEKA NDEGE. Uwanja wa ndege wa Mwanza. Lengo la habari hiyo lilikuwa ni kuonyesha hatari iliyopo kwa kutoa mwanya kwa magaidi kufanya uhalifu kupitia mlango ambao hauna umuhimu. Hata hivyo, licha ya habari hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto ni sikio la kufa lisilosikia dawa?

Tangu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe na Mjumbe wa Kamati kuu, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba kuvuliwa nyadhifa zao, kumekuwa na mijadala mingi kwenye vyombo vya habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge hili ni kama sikio la kufa

Wakati Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipoanza kikao chao mjini Dodoma mwezi uliopita kwa kumchagua mwenyekiti wa muda ili kuongoza Semina ya Kutunga Kanuni za Bunge hilo, tulishuhudia wakifanya vitimbi na vitendo ambavyo hakika vililidhalilisha Bunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumechoka, sikio la kufa lisikie dawa sasa

Ukiombwa utoe sababu kwa nini michezo nchini imeshindwa kuleta tija hasa katika eneo la kimataifa, bila shaka kapu kubwa litahitajika ili kujaza sababu hizo kutokana na ukweli kwamba ziko nyingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumechoka kweli, sikio la kufa lisikie dawa sasa

Ukiombwa utoe sababu kwa nini michezo nchini imeshindwa kuleta tija hasa katika eneo la kimataifa, bila shaka kapu kubwa litahitajika ili kujaza sababu hizo kutokana na ukweli kwamba ziko nyingi.

 

11 years ago

GPL

SIKIO LA...

Stori:  Waandishi Wetu KATIKA Gazeti la Risasi Jumamosi la Aprili 26, mwaka huu ukurasa wake wa nyuma kulikuwa na habari yenye kichwa; Mgonjwa akiwa hoi hospitalini bila huduma. UOZO MAHOSPITALINI... OFM YAIFUNGIA KAZI PALESTINA.
Katika habari hiyo, mapaparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ walitinga Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni, Dar, Palestina iliyopo Sinza na kufanya ‘upelelezi’ kuhusu...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND, SIKIO HALIZIDI KICHWA!

PAMOJA na kazi yake nzuri kabisa ya kusikia, inayomfanya binadamu afanye mambo yake vizuri katika kufanikisha maisha yake, bado sikio ni kiungo kidogo tu kilicho ndani ya kichwa, kiwe cha binadamu au mnyama mwingine. Licha ya kwamba viungo vyote ndani ya mwili ni muhimu, lakini vipo ambavyo ni muhimu zaidi, kama ilivyo sikio kwa binadamu. Hata hivyo, umuhimu huo haukipi kiungo hicho ukubwa wa kukizidi kichwa kwani chenyewe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani