Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, SIKIO HALIZIDI KICHWA!

PAMOJA na kazi yake nzuri kabisa ya kusikia, inayomfanya binadamu afanye mambo yake vizuri katika kufanikisha maisha yake, bado sikio ni kiungo kidogo tu kilicho ndani ya kichwa, kiwe cha binadamu au mnyama mwingine. Licha ya kwamba viungo vyote ndani ya mwili ni muhimu, lakini vipo ambavyo ni muhimu zaidi, kama ilivyo sikio kwa binadamu. Hata hivyo, umuhimu huo haukipi kiungo hicho ukubwa wa kukizidi kichwa kwani chenyewe,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIKIO LA...

Stori:  Waandishi Wetu KATIKA Gazeti la Risasi Jumamosi la Aprili 26, mwaka huu ukurasa wake wa nyuma kulikuwa na habari yenye kichwa; Mgonjwa akiwa hoi hospitalini bila huduma. UOZO MAHOSPITALINI... OFM YAIFUNGIA KAZI PALESTINA.
Katika habari hiyo, mapaparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ walitinga Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni, Dar, Palestina iliyopo Sinza na kufanya ‘upelelezi’ kuhusu...

 

10 years ago

Mtanzania

Simba sikio la kufa

3TIMU ya soka Simba jana ilishindwa kutamba mbele ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), huku beki Nassor Masoud ‘Chollo’ akikosa penalti dakika za majeruhi.
Simba ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa, kwani licha ya kumtimua Mzambia Patrick Phiri kwa kuonekana mzigo na kuwa na kocha mpya Msebia, Goran Kuponovic, lakini suala hilo si tiba kwa timu hiyo yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi,...

 

10 years ago

GPL

AUNT: SIKIO LA KUFA!

Stori: Musa Mateja
LICHA ya kushauriwa na daktari kuhusu kutulia na kutovaa viatu virefu kutokana na ujauzito, mwigizaji Aunt Ezekiel ameonekana kuwa ni sikio la kufa kwani ameendelea kuvaa kama kawaida.Aunt aliendeleza ubishi huo Jumatano iliyopita mjini Dodoma alipokuwa amekwenda katika Pati ya Good Bye 2014 iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame ambapo mashabiki walimshuhudia Aunt akiwa amevaa kigauni kifupi pamoja na...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE SIKIO LA KUFA

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedhihirisha kuwa ni sikio la kufa baada ya kusema yeye ni miongoni mwa wanawake wanaojua  kuchuna mabuzi. Kauli hiyo imechochea vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana amempuuza....

 

11 years ago

GPL

Gomaa amuuma sikio Pluijm

Beki mkongwe wa Al Ahly, Wael Gomaa. BEKI mkongwe wa Al Ahly, Wael Gomaa alimuita pembeni kocha wa Yanga, Hans van Pluijm na kuzungumza naye kwa takribani dakika mbili akimueleza, walikuwa hawana uhakika kama watasonga mbele dhidi ya Yanga. Lakini Gomaa alimueleza kocha huyo kuwa anafurahishwa na uchezaji wa kasi wa kikosi chake na kama wangefanikiwa kuwatoa Al Ahly wangeweza kufika mbali zaidi. Baada ya Championi Jumatano...

 

11 years ago

GPL

MKE WA MTU ANYOFOLEWA SIKIO

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza
AISEE!
Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini hapa ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa ni hawara yake. Consolata Edward akionyesha jeraha katika sikio lake. Tukio hilo lilitokea Desemba 16, mwaka jana ambapo mwanamke huyo alidai kuwa alikuwa akizungumza kwa simu na mfanyakazi mwenzake ambaye anauza naye chakula...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge hili ni kama sikio la kufa

Wakati Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipoanza kikao chao mjini Dodoma mwezi uliopita kwa kumchagua mwenyekiti wa muda ili kuongoza Semina ya Kutunga Kanuni za Bunge hilo, tulishuhudia wakifanya vitimbi na vitendo ambavyo hakika vililidhalilisha Bunge.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DK. KAMANI: Wafugaji watarajie sikio sikivu

DK. Titus Kamani, ni Waziri mpya wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambaye amerithi mikoba ya Dk. Mathayo David aliyeng’olewa kwa shinikizo la Bunge kutokana na kutowajibika ipasavyo wakati wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yashauriwa kupima afya ya sikio

JAMII imeshauriwa kutembelea vituo vya afya mara kwa mara ili kujua namna ya kujitunza na kujikinga dhidi ya maradhi mbalimbali yanayotokanayo na masikio. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani