Shilole: Watoto Wangu Ndio Wananifanya Niende “Resi”
Mwigizaji na mwanamkizi, Zuena Mohammed 'Shilole' ambae ni mama wa watoto wawili,kama mzazi leo hii amewandikia ujumbe mzito watoto wake mara baada ya kubamdika picha yao hiyo hapo juu.
“Hawa ndo wananifanya mm naenda resi kila siku! Nawapenda sana watoto wangu! Rahma na joyce! Shule ndo zishafunguliwa mkasome! Mtimize zile ahad zenu! Hahahahaah Rahma kaniahid eti ataninulia private jet! Wakati Joyce kaniahid kunijengea nyumba yenye kila kitu ndani! Hahhahahhh wanangu wanipa raha sana!...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
10 years ago
GPLSHILOLE: MPENZI WANGU NDIYE ANAYENITIBU VIZURI
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
10 years ago
Bongo Movies13 May
Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi...
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
ROSE NDAUKA:Nampenda Mwangu, Yeye Ndio Mchizi Wangu!!
Mrembo na muigizaji wa filamu , Rose Ndauke ambae ni mama wa mtoto mmoja , ameleza kwajinsi gani anavyo mpenda mtoto wake na humfanya awe na furaha wakati wote japokuwa anamlea mtoto peke yake kama “single mother” baada ya kuachana na aliekuwa mchumba wake ambae ndio baba wamtoto huyo.
Akionakana mwenye tabasamu pana akiwa amembeba mtoto wake rose alisema;
“Sasa nikiwa nae nachekaje mpaka jino mwisho nakupenda mwanangu na ndio mchizi wanguuuuu”
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa maeneo...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Smith: Watoto wangu hawanisikilizi
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa filamu na muziki nchini Marekani, Will Smith, amedai kwamba watoto wake kwa sasa wanajiona wamekuwa hivyo hawasikilizi ushauri wake.
Msanii huyo amesema kuwa awali watoto wake walikuwa wanausikiliza ushauri wake, lakini kwa sasa wamekuwa ndiyo maana wanapuuzia ushauri wake.
“Kila nikijaribu kuwashauri inakuwa ngumu kunielewa, lakini zamani walikuwa makini na kile ninachokisema, ila sishangai najua wamekuwa na kujiona wanaweza kujiongoza katika baadhi ya...