SHOO YA J.LO NUSURA IONDOKE NA WAZIRI
Mwamamuziki, Jennifer Lopez ‘J.Lo akitumbuiza pamoja na dancers wake. Rabat, Morocco WAZIRI wa Mawasiliano wa Morocco, Mustapha Khalfi, amejikuta katika wakati mgumu kufuatia kufanyika kwa shoo ya mwamamuziki, Jennifer Lopez ‘J.Lo, ambaye alivaa mavazi yaliyoacha nje asilimia kubwa ya maungo yake pamoja na dancers wake. Shoo hiyo ilifanyika Mei 29, mwaka huu katika Tamasha la Mawazine lililofanyika huko Rabat na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAFUASI WA CCM,CHADEMA NUSURA WAZITWANGE MKUTANO WA NAIBU WAZIRI WA MAJI
11 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wafuasi wa CCM,CHADEMA nusura wazitwange mkutano wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka kuzichapa ulipotokea mzozo katika mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika Uwanja wa Shule ya Mavurunza, Kata ya Salanga, Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam jana.
Na Mwandishi wetu
Jitihada za Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuwazuia wananchi wasiendelee kumzomea Naibu waziri wa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Kitila: Katiba mpya hadi CCM iondoke
MHADHIRI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam Kitivo cha Elimu (DUCE), Dk. Kitila Mkumbo, amesema kuwa katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wananchi, itapatikana baada ya Chama Chama Mapinduzi...
9 years ago
GPLBAADA YA WAZIRI KUMUWEKEA NGUMU CHRIS BROWN: MSIJISUMBUE, NAKUJA KUFANYA SHOO
10 years ago
GPLHAUSIGELI NUSURA AUAWE
11 years ago
GPLMREMBO NUSURA ABAKWE
9 years ago
GPLMIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mbunge, Mkurugenzi nusura wazichape
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Makonda, kubenea nusura wazichape
Na Shabani Matutu, Dar es salaam
MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), nusura azichape kavu kavu na Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni, Paul Makonda baada ya kutokea kutoelewana.
Kutokana na hali hiyo Makonda aliwaagiza askari wa Jeshi la Polisi kumtia mbaroni Kubenea kwa kile kilichoelezwa kuwa mbunge huyo ameshindwa kutii agizo la mkuu huyo wa wilaya.
Tukio hilo lilitokea jana, jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao kukutana katika mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Tooku...