Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKI KUMUUGUZA NA HATA MSIBA WA MPENDWA WETU HAPPY-SIANA APPIA KIRENGA

Happy-Siana Appia Kirenga
19.12.1966 - 5.07.2014


Familia ya Marehemu Mzee Appia Thomas Kirenga wa Machame Kisiki Moshi inayo heshima kubwa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa ndugu, jamaa na marafiki ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba, mazishi na hatimaye matanga ya mtoto/Dada yao mpendwa, Happy-Siana Appia Kirenga aliyefariki dunia usiku wa  Jumamosi  ya July 5 kwenye Hospitali ya Taifa  ya Muhimbili na kuzikwa jirani na alipopumzishwa baba yake mzazi, nyumbani,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MPENDWA WETU SEBASTIAN MGIMBA WAPUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

 Ndugu wa Marehemu Sebastian Mgimba Philipo Mgimba (katikati) akiwa amebeba msalaba huku pembeni ndugu mwingine akiwa pamoja na picha ya marehemu wakati wa misa fupi ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam leo.Dada wa Marehemu Sebastian Mgimba, Mariam akiwa na ndugu zake wakati wa sala ya mazishi iliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni leo Rafiki wa Marehemu akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Sebastian Mgimba mara baada ya sala fupi ya mazishi...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN

Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu ghrama za mazishi ni $6,000  jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo  Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299  Route ni 075000019  Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu msiba huu ni wetu sote chochote utakachokua nacho...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN‏

Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu ghrama za mazishi ni $6,000  Jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo  Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299  Route ni 075000019  Tafadhali ndugu zangu,...

 

10 years ago

Vijimambo

Shukrani kwa kutufariji katika msiba wa mama Delphina Muyinga Tanzania

Familia ya Jeffy Deo Nkanda wa Maryland U.S,tunapenda kuwashukuru Watanzania wote wa DMV na nyumbani Tanzania kwa kuja kutufariji katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama yetu mpendwa Delphina Muyinga uliotokea November,2. Hatuna cha kuwalipa kwa fadhila zenu bali mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia kwa wema wenu.Bwana alitoa na sasa ametwa, ameni. Juu na chini ni taswira mbalimbali za msiba wa mpendwa mama Delphina Muyinga

 

11 years ago

Michuzi

AROBAINI YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV

Zainab Buzohera enzi ya uhai wake
Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni 1401 University Blvd,  Hyattsville, MD 20783. Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili kufanikisha siku hii ambayo ilianzia saa, siku, wiki, mwezi na siku 10...

 

11 years ago

GPL

FOURTY YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV‏

Zainab Buzohera enzi ya uhai wake. Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni 1401 University Blvd,
Hyattsville, MD 20783.
Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili...

 

11 years ago

Michuzi

MAZISHI YA MPENDWA WETU NI KESHO JUMAPILI MAKABURI YA KINONDONI

Carol Mbilinyi enzi ya uhai wake
KWA WENZANGU WANA PAZI,  DADA YETU CARO MWAISELAGE MBILINYI ANAZIKWA KESHO TAREHE 9 MARCH 2014  SAATISA MCHANA KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. KABLA YA HAPO SHUGHULI ZA MISA ZITAFANYIKA KANISA LA KILUTHERIL  UKONGA.
 TUJITAHIDI KUMSINDIKIZA DADA  YETU KWENYE SAFARI YAKE YA MWISHO.
KWA TAARIFA ZAIDI TUNAWEZA KUMPIGIA SIMU KAKA YAKE DR. JULIUS MWAISELAGE KWENYE NO. 255754764412 , MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA...

 

11 years ago

Michuzi

MICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO MADISON, WISCONSIN

Mike Lukindo enzi ya uhai wake.
Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote zilizofanyika tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014 majivu yake walikabidhiwa familia yake kwa mtoto wa kwanza wa marehemu kwenda kuchukua majivu hayo. Mpaka mazishi yafanyike zilikua zinahitajika $6,000 pamoja na michango ya sisi tuliopo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAHUDHURIA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU MAMA ESTHER S. MWAIPASI NZOVWE MBEYA.

Marehemu Esther S. Mwaipasi enzi za Uhai wake Mwili wa Marehemu ukiwa unaingia nyumbani  Ndugu wa karibu wakiwa wanaomboleza kwa majonzi kifo cha Marehemu Esther S. Mwaipasi Baadhi ya Ndugu wa karibu wa Marehemu na waombolezaji wakiwa tayari kwa kuanza Misa ya kumuombea Marehemu Mchungaji Dkt. Nzowa akiendesha Ibada ya Kumuombea na kumuaga Marehemu Esther S. Mwaipasi

Mume wa Marehemu Esther Mwaipasi akiwa katika Majonzi 
 Baadhi ya watoto wa Marehemu Mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt. Gwamaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani