Shukrani kwa kutufariji katika msiba wa mama Delphina Muyinga Tanzania
Familia ya Jeffy Deo Nkanda wa Maryland U.S,tunapenda kuwashukuru Watanzania wote wa DMV na nyumbani Tanzania kwa kuja kutufariji katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama yetu mpendwa Delphina Muyinga uliotokea November,2. Hatuna cha kuwalipa kwa fadhila zenu bali mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia kwa wema wenu.Bwana alitoa na sasa ametwa, ameni. Juu na chini ni taswira mbalimbali za msiba wa mpendwa mama Delphina Muyinga
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4cj-TeblCXw/U-4HmrxHOoI/AAAAAAAF_28/j-KKx1_YpUY/s72-c/New%2BPicture.jpg)
SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKI KUMUUGUZA NA HATA MSIBA WA MPENDWA WETU HAPPY-SIANA APPIA KIRENGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-4cj-TeblCXw/U-4HmrxHOoI/AAAAAAAF_28/j-KKx1_YpUY/s1600/New%2BPicture.jpg)
19.12.1966 - 5.07.2014
Familia ya Marehemu Mzee Appia Thomas Kirenga wa Machame Kisiki Moshi inayo heshima kubwa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa ndugu, jamaa na marafiki ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba, mazishi na hatimaye matanga ya mtoto/Dada yao mpendwa, Happy-Siana Appia Kirenga aliyefariki dunia usiku wa Jumamosi ya July 5 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuzikwa jirani na alipopumzishwa baba yake mzazi, nyumbani,...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Mama Kagaruki na Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania
· Watanzania Marekani wametoa dolla 5,300 · Familia, ndugu na Jamaa wa Tanzania wametoa dolla 11,000 · Watoto wa Marehemu Erick na Mary Kagaruki wametoa kiasi kilichobakia cha dolla 3,700. Watoto wa Marehemu Erick Kagaruki na Mary Kagaruki na...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UDV5Zo9PcEg/ViU7QdSglQI/AAAAAAAIA9w/ko6c9nFzPyE/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
MSIBA MAREKANI NA TANZANIA WA MAMA TAMALI MWAKYOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UDV5Zo9PcEg/ViU7QdSglQI/AAAAAAAIA9w/ko6c9nFzPyE/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
BJ na Hellen wanatarajia kuondoka Marekani Jumanne kurudi Tanzania kwa Mazishi, ambapo shughuli za awali za msiba ziko nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es salaam, nyuma ya jengo la Kamisheni ya Vyuo Vikuu barabara ya Rose Garden.
Kwa pole na...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-GRHZbWpXVlA/VX8_n9LdZBI/AAAAAAADr9U/BVrGdwYgaEg/s72-c/IMG-20150612-WA0000%2B%25282%2529.jpg)
SHUKRANI KUTOKA KWA DR TEMBA KWENDA KWA NEW YORK TANZANIA COMMUNITY PAMOJA NA NDUGU NA MARAFIKI
![](http://1.bp.blogspot.com/-GRHZbWpXVlA/VX8_n9LdZBI/AAAAAAADr9U/BVrGdwYgaEg/s640/IMG-20150612-WA0000%2B%25282%2529.jpg)
Mwalimu Flavian Temba 6-09-2015
To All: We wish to acknowledge the many expressions from friends and love one during this time bereavement. Words cannot express the strength you and the Diaspora and Bongo community have given us during this difficult time.
May Mwalimu Flavian Temba's bright spirit live on in us all. Sincerely
Temba Anicetus family
![](http://2.bp.blogspot.com/-45GzZUgnLJI/VX8_o7cwAKI/AAAAAAADr90/mcmP4x0Nn5c/s640/IMG-20150613-WA0026.jpg)
His wife, Salome Flavian Temba, family and friends giving blessing on his eternal journey in peace
![](http://3.bp.blogspot.com/-iP99oj2hCF4/VX8_pwpBGsI/AAAAAAADr-E/ja-yZyNQiFI/s640/IMG-20150613-WA0035%2B%25281%2529.jpg)
Godson Philip Kilewo, families, and...
9 years ago
Vijimambo29 Oct
MSIBA DMV NA TANZANIA: MISA YA MAREHEMU MAMA GREN JUDICA MOSHI
Familia ya Herman Moshi inapenda kuwataarifu ndugu, jamaa na marafiki waishio DMV na vitongoji vyake kwamba misa ya kumuombea mpendwa mama yao Bibi Gren Judica Moshi itafanyika siku ya Jumapili November 1st 2015 kuanzia saa tisa na nusu mpaka saa kumi na moja (3:30 – 5:00pm) katika kanisa la Faith Moravian Church lililopo 405 Riggs Rd NE, Washington DC 20011.
Mama yetu mpendwa Gren alifariki dunia ghafla Tanzania, siku ya Jumamosi October...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BAkA4-b7wlI/Uvk12TCc6aI/AAAAAAAFMQI/tCI7yBZPbXo/s72-c/Nape-Nnauye.jpg)
CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BAkA4-b7wlI/Uvk12TCc6aI/AAAAAAAFMQI/tCI7yBZPbXo/s1600/Nape-Nnauye.jpg)
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lvuYjgTq5ck/VYCBex2LZII/AAAAAAAHgGo/5BjCtqNb6_M/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MATUKIO MBALIMBLI KATIKA MSIBA WA MUFTI MKUU WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-lvuYjgTq5ck/VYCBex2LZII/AAAAAAAHgGo/5BjCtqNb6_M/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-C4aser1dVJc/VYCDCIaNNiI/AAAAAAAHgIA/MADBsuLttxI/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Salamu za Bodi ya Filamu Tanzania katika msiba wa George Otieno Okumu
Katibu Bodi ya Filamu Bibi Joyce Fisoo akisoma salamu za rambirambi wakati wa kuuaga mwili wa aliyekua mtayarishaji wa filamu nchini George Otieno Okumu “Tyson” katika viwanja vya Leaders’ Kinondoni. Tyson alifariki mwishoni mwa wiki iliyopita kwa ajali ya gari.
Ndugu zangu nashindwa hata niseme nini kutokana na mfululizo wa misiba ya wanatasnia wenzetu, nashindwa kueleza simanzi kubwa niliyonayo, nakosa la kuongea ninabaki kusema kazi ya Mungu haina makosa katika yeye tumeubwa na yote...