Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUKURANI

MAREHEMU MOSHI CHANG’A  Bismillah Rahmani Rahim Familia ya akina MWACHANG’A wa Iringa inatoa shukurani za dhati kwa ndugu jamaa na marafiki wote walioshiriki kwahali na mali kuanzia kumuuguza mpaka kufanikisha mazishi ya mpendwa wao marehemu MOSHI CHANG’A aliyefariki siku ya Jumapili tarehe 20.04.2014 katika hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Kihesa mkoani Iringa Mjini katika makaburi ya Mtwivira, siku ya Jumatano tarehe 23.04.2014.

Aidha shukurani za pekee zimuendee Mheshimiwa Rais wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHUKURANI ZADHATI

Familia ya Sakapala inapenda kutoa shukrani za dhati kwa kuweza kuhitimisha HITMA ya mdogo wetu Marehemu Jamila Simba Sakapala.
Shukrani nyingi sana kwa wale wote mlioweza na hata walioshindwa kuhudhuria kutokana na kubanwa na majukumu pia asanteni kwa vyakula, vinywaji, pamoja na kujitolea muda wenu na kufanikisha shughuli nzima. Ama kwa hakika hatuna cha zaidi na kuwalipa, Insha Allah Mwenyezi Mungu atawazidishia... Ameeeeen

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKURANI ZA DHATI

Hamida Majili na familia yake wanatoa shukrani zao za dhati kwa msaada wenu wa hali na mali katika kipindi cha msiba wa mama yake na kukamilisha kisomo.Asanteni sana. Mola awajaalie wote. Inshallah

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA SHUKURANI SEATTLE, WA

Familia ya Bw& BibiEmil Muta wa Seattle Washington. Wanapenda kuwaalika ndugu , Jamaa na marafiki katika Ibada ya shukrani kwa Mama Yao mpenzi kwa kutimiza Miaka 80 ya kuzaliwa pamoja na kupata kilembwe kwenye uzao wake.tarehe 1/11/14 kuanzia saa kumi jioni mpaka kesho yake.Na sherehe ya kukata nashoka itakayofanyikia katika ukumbi wa ICE CENTER6015 S 240 STKENT WA 98032Karibu nyote , karibu woteImetolewa na Baba wa Seattle kwa niaba ya Famili

 

10 years ago

Vijimambo

Shukurani zetu za dhati

Kamati ya Fundraising ya Rashidi Mkakile. Inawashukuru sana kwa mchango wenu wa hali na mali na moyo mliouonyesha na kuungana nasi siku ya tarehe 16/12/2014 ili kumsaidia ndugu yetu.

Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.

Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.

Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...

 

10 years ago

Michuzi

SHUKURANI TOKA FAMILIA YA GONDWE

FAITH CATHERINE GONDWEFAMILIA YA BW. GEOFFREY GONDWE INAPENDA KUWASHUKURU WATU WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA INGINE KATIKA KUHITIMISHA SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WAO FAITH CATHERINE GONDWE ALIYEFARIKI DUNIA GHAFLA SIKU YA JUMANNE FEBRUARY 17, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM, NA KUPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE SIKU YA JUMAMOSI FEBRUARY 21, 2015 KATIKA MAKABURI YA JUMUIYA YA MADOLA, KINONDONI.

FAMILIA YA BW. GEOFFREY GONDWE INATAMBUA KWAMBA SI RAHISI SANA KUMSHUKURU MTU MMOJA MMOJA KWA...

 

10 years ago

Michuzi

SHUKURANI NA MISA YA KUMALIZA MSIBA

MAREHEMU RICHARD AZZA MGAYA 04. 04 , 1939 - 22. 05,  2015. 
Familia ya Marehemu Mzee Richard Azza Mgaya inawaarifu ndugu, jamaa, marafiki na jirani kwamba shughuli ya kumaliza msiba itafanyika Jumapili hii ya tarehe 02 agosti, 2015 nyumbani kwa marehemu Njiro, Arusha.Misa ya shukurani na sadaka itaanza saa tatu za asubuhi na baadaye chakula cha mchana.Familia inatoa shukurani kwa wote walioshiriki kikamilifu katika shughuli za mazishi toka mwanzo hadi mwisho wa kumuweka kwenye nyumba yake ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA SHUKURANI JUMAPILI DMV

Ukiwa kama ndugu, rafiki na jamaa wa karibu wa Michael Kiangio napenda kukufahamisha kuwa ndugu yetu, mpendwa wetu na rafiki yetu alipoteza baba yake mzazi last month nyumbani Tanzania.
Tunakukaribisha ushiriki nasi kwenye Misa ya shukrani ya kumuombea baba wa Michael itakayofanyika tarehe 19th April katika kanisa la The way of cross gospel ministry from 2 pm to4pm. address 405 Riggs rd NE Washington DC.
for more information call me at 443-636-1782Thanks.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani