SHUKURANI ZADHATI
Familia ya Sakapala inapenda kutoa shukrani za dhati kwa kuweza kuhitimisha HITMA ya mdogo wetu Marehemu Jamila Simba Sakapala.
Shukrani nyingi sana kwa wale wote mlioweza na hata walioshindwa kuhudhuria kutokana na kubanwa na majukumu pia asanteni kwa vyakula, vinywaji, pamoja na kujitolea muda wenu na kufanikisha shughuli nzima. Ama kwa hakika hatuna cha zaidi na kuwalipa, Insha Allah Mwenyezi Mungu atawazidishia... Ameeeeen
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jLFmdkiXrLg/U3APmGeyS1I/AAAAAAAFg_c/WWYNKHNsbNg/s72-c/images.jpg)
SHUKURANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-jLFmdkiXrLg/U3APmGeyS1I/AAAAAAAFg_c/WWYNKHNsbNg/s1600/images.jpg)
10 years ago
Vijimambo16 Oct
SHUKURANI ZA DHATI
10 years ago
Vijimambo27 Oct
IBADA YA SHUKURANI SEATTLE, WA
Familia ya Bw& BibiEmil Muta wa Seattle Washington. Wanapenda kuwaalika ndugu , Jamaa na marafiki katika Ibada ya shukrani kwa Mama Yao mpenzi kwa kutimiza Miaka 80 ya kuzaliwa pamoja na kupata kilembwe kwenye uzao wake.tarehe 1/11/14 kuanzia saa kumi jioni mpaka kesho yake.Na sherehe ya kukata nashoka itakayofanyikia katika ukumbi wa ICE CENTER6015 S 240 STKENT WA 98032Karibu nyote , karibu woteImetolewa na Baba wa Seattle kwa niaba ya Famili
10 years ago
Vijimambo22 Nov
Shukurani zetu za dhati
Kamati ya Fundraising ya Rashidi Mkakile. Inawashukuru sana kwa mchango wenu wa hali na mali na moyo mliouonyesha na kuungana nasi siku ya tarehe 16/12/2014 ili kumsaidia ndugu yetu.
Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.
Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.
Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...

MichuziSHUKURANI TOKA FAMILIA YA GONDWE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TzkpVeaVDlk/Vbu7Qqx7mcI/AAAAAAAHs9s/lnEk7ko6stI/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
SHUKURANI NA MISA YA KUMALIZA MSIBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TzkpVeaVDlk/Vbu7Qqx7mcI/AAAAAAAHs9s/lnEk7ko6stI/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Familia ya Marehemu Mzee Richard Azza Mgaya inawaarifu ndugu, jamaa, marafiki na jirani kwamba shughuli ya kumaliza msiba itafanyika Jumapili hii ya tarehe 02 agosti, 2015 nyumbani kwa marehemu Njiro, Arusha.Misa ya shukurani na sadaka itaanza saa tatu za asubuhi na baadaye chakula cha mchana.Familia inatoa shukurani kwa wote walioshiriki kikamilifu katika shughuli za mazishi toka mwanzo hadi mwisho wa kumuweka kwenye nyumba yake ya...
10 years ago
Vijimambo16 Apr
MISA YA SHUKURANI JUMAPILI DMV
Ukiwa kama ndugu, rafiki na jamaa wa karibu wa Michael Kiangio napenda kukufahamisha kuwa ndugu yetu, mpendwa wetu na rafiki yetu alipoteza baba yake mzazi last month nyumbani Tanzania.
Tunakukaribisha ushiriki nasi kwenye Misa ya shukrani ya kumuombea baba wa Michael itakayofanyika tarehe 19th April katika kanisa la The way of cross gospel ministry from 2 pm to4pm. address 405 Riggs rd NE Washington DC.
for more information call me at 443-636-1782Thanks.

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania