Shule mbili za msingi binafsi zafungwa Geita
Halmashauri ya Mji wa Geita imezifungia shule mbili za msingi za binafsi kwa kosa la kuendesha shule hizo kinyume na taratibu za usajili.
Shule zingine zimepewa barua za kuzuiwa kuendesha shule za awali ambazo baadhi yake hazina mazingira salama kwa wanafunzi.
Baadhi ya Shule za Msingi zimekuwa pia zikitumia ujanja wa kupeleka wanafunzi wa darasa la nne kufanya mitihani katika shule za binafsi zilizosajiliwa na baadae kuendelea na masomo katika shule zao.
Shule ya msingi Samandito na Maguzu...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-U7q-ejU32xo/VkmJX034soI/AAAAAAAIGIQ/-53TPPp4DNg/s72-c/01.jpg)
mgodi wa STAMIGOLD waipiga jeki Shule ya msingi Mavota, Mkoani Geita
![](http://3.bp.blogspot.com/-U7q-ejU32xo/VkmJX034soI/AAAAAAAIGIQ/-53TPPp4DNg/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-fxqueGF2qdM/VkmHCriGHMI/AAAAAAAIGHw/_ImsD-Wl2gw/s640/04.jpg)
Moja kati ya...
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
YMC yaendesha mafunzo ya siku mbili ya utafiti wa taaluma shule za msingi Manispaa ya Singida
Mratbu wa shirika la Uwezo mkoa wa Singida, Nason W.Nason, akitoa nasaha zake kwenye mafunzo yaliyohusu kufanywa kwa utafiti juu ya taaluma shule za msingi manispaa ya Singida.Wa pili kulia ni Kaimu Afisa Elimu shule za msingi manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda na (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa YMC mkoa wa Singida, Fidelis Yunde.
Kaimu Afisa Elimu manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda, akizungumza kwenye ufungaji wa mafunzo ya namna bora ya kufanya utafiti wa taaluma katika shule za...
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Akaunt 86 za watu binafsi zafungwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Meningitis; Shule zafungwa Niger
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Shule zafungwa Kenya kutokana na mgomo
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Shule 700 zafungwa Korea Kusini
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Ebola:Shule zote zafungwa Liberia