Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule yakabidhiwa mradi wa mil. 600/-

KAMPUNI ya Ophir Energy imekamilisha mradi wa maendeleo ya jamii wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 600 katika Shule ya Msingi Lilungu, Manispaa ya Mtwara-Mikindani, mkoani Mtwara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sekondari yakabidhiwa mradi wa Sh41 milioni

 Mradi wa gesi inayotumia kinyesi cha binadamu na wanyama wenye thamani ya zaidi ya Sh41 milioni umezinduliwa na kukabidhiwa kwa Sekondari ya Ilasi.

 

11 years ago

Habarileo

Mil. 600/- zakusanywa harambee vifaa vya matibabu ya watoto

RAIS Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia juzi aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya Sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wadi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani wilayani Simanjiro yakabidhiwa

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Christopher Ole Sendeka na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shule za sekondari zaidi ya 30 kufaidika na mradi wa vitabu wa Airtel Shule Yetu

SONY DSC

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu” kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mradi huu wa vitabu umeweza kufikia shule zaidi ya 1,000 toka ulipoanza miaka kumi iliyopita. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.

SONY DSC

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

Shule ya sekondari ya Kutukutu Morogoro wafaidika na mradi wa "Airtel Shule Yetu"

Uongozi wa shule ya sekondari ya Kutukutu iliyopo wilayani kilosa mkoani Morogoro, umeishukuru kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa msaada wa vitabu vya masomo ya sayani.
Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni mbili umekabidhiwa hivi karibu na wawakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ikiwa ni mpango wa SHULE YETU unaosimamiwa na kampuni hiyo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya walimu na wanafunzi wa shule hiyo mkuu wa shule ya sekondari Kutukutu Finyilise Elias amesema,...

 

10 years ago

GPL

MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI LOORNG'OSWANI WILAYANI SIMANJIRO YAKABIDHIWA

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa mawasiliano wagharimu mil 292/-

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzani(TCAA), imesema kuwa mradi wa kuboresha kituo cha kupokea na kutuma mawasiliano ya redio zinazotumika katika usafiri wa anga kilichopo Mnyusi mkoani Tanga umegharimu shilingi...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa maji wa Sh mil 692 Kibati wakamilika

WANANCHI wapatao 10,000 wa vijiji vya Salawe na Hoza, Kata ya Kibati, wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro wameanza kupata huduma ya maji safi na salama kutokana na kukamilika kwa ujenzi mradi wa maji uliogharimu Sh milioni 692.1.

 

10 years ago

Habarileo

Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132

MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani