Mradi wa mawasiliano wagharimu mil 292/-
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzani(TCAA), imesema kuwa mradi wa kuboresha kituo cha kupokea na kutuma mawasiliano ya redio zinazotumika katika usafiri wa anga kilichopo Mnyusi mkoani Tanga umegharimu shilingi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Msaada Mvomero wagharimu mil. 12/-
CHAMA cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) kimetumia zaidi ya sh milioni 12 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni Wilaya ya Mvomero, Morogoro....
10 years ago
Michuzi12 Jun
TTCL Yakabidhi Mradi wa Huduma za Mawasiliano TBL
11 years ago
MichuziTTCL yaahidi makubwa mradi wa mawasiliano vijijini
10 years ago
Habarileo23 Oct
Shule yakabidhiwa mradi wa mil. 600/-
KAMPUNI ya Ophir Energy imekamilisha mradi wa maendeleo ya jamii wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 600 katika Shule ya Msingi Lilungu, Manispaa ya Mtwara-Mikindani, mkoani Mtwara.
10 years ago
Habarileo11 Jul
Mradi wa maji wa Sh mil 692 Kibati wakamilika
WANANCHI wapatao 10,000 wa vijiji vya Salawe na Hoza, Kata ya Kibati, wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro wameanza kupata huduma ya maji safi na salama kutokana na kukamilika kwa ujenzi mradi wa maji uliogharimu Sh milioni 692.1.
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132
MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.
11 years ago
Michuzi15 Jul
MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA
Na Mwandishi wetu, KorogweShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limezindua mradi wa mamilioni katika eneo la...
11 years ago
GPLMRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Ujenzi bwawa la Mahi wagharimu bil 1.4/-
SERIKALI imeeleza kuwa utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa bwawa la Mahi la Mahiga katika Jimbo la Kwimba umefikia asilimia 90 na sh bilioni 1.4 zimetumika. Kauli hiyo ilitolewa bungeni...