Sigara ya bangi yaanza kuuzwa Uingereza
Wakati sigara ya kwanza ya bangi ya kieletcroniki ilipozinduliwa mnamo mwezi juni ilikuwa ikipatikana ughaibuni pekee.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeBi4bqw2BDl0p2u8XTbXhUJGZjbKG6FmzjTjFinJqMHSIDJqkBTDelWgXIzJz*qaEftS5NPgWTEDldZVVBXA0Oz/BANZAA.jpg?width=650)
BANZA: NILIANZA SIGARA, BANGI, UNGA ILA SASA…
MWIMBAJI mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefunguka mazito juu ya matumizi mabaya ya bangi na madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na jinsi alivyokuwa akiyatumia. Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. Akizungumza kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV Online mwanzoni mwa wiki hii, Banza alikiri kutumia madawa ya kulevya na...
10 years ago
GPLOIL MPYA YA MAGARI NA MITAMBO YAANZA KUUZWA NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la F-Zone (T) Ltd, Mtitu Game akiwa na mteja kwenye duka hilo lililopo mtaa wa Kariakoo na Msimbazi jijini Dar. Wafanyakazi wa Duka la Mtitu Game wakishikilia madumu yenye oil ya NEXTOIL.…
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Mjadala wa madhara ya uvutaji bangi wapamba moto uingereza
Neno lenye maana na majina mengi. Marijuana. Cannabis. Sigara kali. Spliff. Kaya. Na kadhalika. Kwa Kiswahili asili ya neno “bhang†ni Kihindi. Sina hakika kama zamani kabla ya ujio wa wageni tulilienzi jani hili. Jani lililo mkebe mmoja na “kunguni†wa dawa za kulevya.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-IulEvqGJ9iQ/VNfTUEYQqsI/AAAAAAAHCgU/Yg0K9pHFGXw/s72-c/download.jpg)
JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-IulEvqGJ9iQ/VNfTUEYQqsI/AAAAAAAHCgU/Yg0K9pHFGXw/s1600/download.jpg)
11 years ago
Bongo521 Jul
Kampuni ya sigara yaamriwa kumlipa mjane wa mvuta sigara aliyekufa kwa kansa ya mapafu dola bil.26.6!
Kundi la waamuzi wa kesi (jury) katika mahakama ya Florida nchini Marekani limeiamuru kampuni ya sigara ya RJ Reynolds Tobacco kumlipa mwanamke aliyefiwa na mume wake kwa saratani ya mapafu dola bilioni 23.6. Adhabu hiyo inajulikana kitaalum kama ‘Punitive damages’ na hutolewa kuyakatisha tamaa makampuni au watu kufanya mambo mabaya huku fidia au ‘compensatory damages’ […]
10 years ago
Habarileo09 Aug
Zutta kuuzwa FC Platinum
MCHEZAJI wa Yanga, Joseph Zutta huenda akauzwa katika timu ya FC Platinum ya Zimbabwe baada ya timu hiyo kuonesha nia ya kutaka kumsajili.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IdN5y1KxAWl*1KpAo2rLbC*SsliyNWpcXKU2s8S7LtuovQGx8mqGRO9i-WQnm*CHgNXETvs9eix5rtlx-oUkkJ8oaA2t4HHW/gurumo3.jpg)
NYUMBA YA GURUMO YASALIMIKA KUUZWA
Nyumba aliyokuwa akiishi marehemu Maalim Gulumo.
Mayasa Mariwata/ijumaawikienda
MKE wa aliyekuwa mwimbaji dansi Bongo, marehemu Muhidin Maalim Gurumo (Pichani), Pili Nassor amesema anamshukuru Mungu baada ya watoto wa mumewe kukaa na kukubaliana kutoiuza nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe huyo iliyopo Tabata jijini Dar. Maalim Gulumo enzi za uhai… ...
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Haruna Niyonzima akubali kuuzwa
Kiungo Haruna Niyonzima ameweka wazi kuwa hawezi kupingana na mpango wa uongozi wa klabu ya Yanga iliyopanga kumuuza.
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Pikipiki ya kielektroniki kuuzwa Taiwan
Pikipiki ya kielektroniki ilio na betri zinazoweza kubadilishwa inatarajiwa kuuzwa nchini Taiwan kwa bei ya dola 4,140.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania