SIHABA NKINGA:Tutaendelea na jitihada za kuwawezesha vijana kama kundi muhimu katika jamii
![](http://img.youtube.com/vi/IrdZUrmqRb4/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Jan
Bi. Sihaba Nkinga azindua chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO)
Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) Bw. Innocent Mungy akisoma Taarifa fupi ya Chama hicho kabla ya uzinduzi jana Mjini Mtwara.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa habari Kabla ya Kuzindua Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) ambapo aliwataka kuwa na umoja na Mshikamano ili kujijenga na kukiendeleza chama hicho kitakachosaidia kukuza taaluma na weledi katika utendaji wa kazi jana Mjini...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Jitihada za pamoja kigezo muhimu katika kutokomeza magonjwa yasiyoambukizwa nchini Tanzania
Kushoto ni mtaalamu wa magonjwa ya mfumo wa mkojo na uzazi, Dk.Rajagopal na upande wa kulia ni mtaalamu wa magonjwa ya figo Dk. Sanjay Maitra, walipokuja kuona na kutoa tiba kwa wagonjwa katika kliniki iliyofanyika hosipital ya Hindu Mandal.
Kuishi ni jambo moja. Kuishi maisha yenye afya njema ni kitu kingine kabisa. Hakuna anaeweza kushuhudia juu ya ukweli huu zaidi ya wale wapatao adha itokanayo na athari za magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Idadi kubwa ya watanzania watu wazima na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ui7ktesqxRE/VLTp5VMNqoI/AAAAAAAG9Ag/TEklHD6TvEo/s72-c/Pix%2B1.jpg)
Saccoss za Vijana katika Halmashauri ni Muhimu: Vijana
![](http://4.bp.blogspot.com/-ui7ktesqxRE/VLTp5VMNqoI/AAAAAAAG9Ag/TEklHD6TvEo/s1600/Pix%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-R1uv8_s-NI4/VLTp5gisrBI/AAAAAAAG9Ao/20zgCHGt-C4/s1600/Pix%2B2.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
‘Tutaendelea na polisi jamii’
JESHI la Polisi limesema litaendelea na mkakati wa kutumia Polisi Jamii kutokana na umuhimu wake wa kuzuia uhalifu. Akizungumza katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_4DTGij9Ck0/XooCfRmUHDI/AAAAAAALmG8/UK7OxAHMxt0xYivashlRnlGoi11BshjUgCLcBGAsYHQ/s72-c/29ecbe31-0488-484c-80bb-ff5a6789c20e.jpg)
KUNDI LA SIMBA JAMII TANZANIA LAZIDI KUTOA MISAADA KWA JAMII
Msaada huo ulitolewa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Ndg Happy Bakamba pamoja na maafisa kadhaa wa Kata.
Simba Jamii iliwakilishwa na wanachama wake Ndg Jacob Madege,Ndg Mwakalilila,Ndg Anangisye na Ndg Maureen.
Mkuu wa msafara wa Simba Jamii Ndg Maureen amedai kuwa...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
PBZ: Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia jamii
MAISHA tunayoishi yanakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo baadhi yake zimeweza kutatuliwa, lakini zingine zinashindakana hadi pale jamii inapopata msaada kutoka nje. Hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kutokana na...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Tutaendelea kufukuza makocha kama ‘inzi’
10 years ago
Michuzi24 Jun
UNESCO KUWAWEZESHA WAJASIRIAMALI JAMII YA KIMASAI NGORONGORO
![Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi kutoka UNESCO wakishuhudia.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/Mradi-Uwezeshaji-Wamasai2.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
IPTL kusaidia miradi ya kuwawezesha vijana
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza utekelezaji wa mpango wake wa kuiwezesha miradi mbalimbali inayowawezesha vijana wa Kitanzania kuimarika kiuchumi, ikiwa na lengo la kukuza...