Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIJAWAHI KUTAKA KUMUOA LULU

Mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhan Muhoza ‘Pentagon’. KAMA ilivyo ada mpenzi msomaji wa safu hii ya Kiti cha Moto, wiki iliyopita tulimleta kwenu mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhan Muhoza ‘Pentagon’ ambaye mlimuuliza maswali na leo tumewaletea majibu aliyoyatoa. UNGANA NAYE... Msani wa fiamu Bongo,  Elizabeth...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU

Brighton Masalu Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu. Msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’. Madai ya uhusiano wa Lulu na Dk. Cheni yamekuwa yakienea...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu:Sijawahi Kuwa Mweusi, Rangi ya Mtume Nimezaliwa Nayo

Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni (hiyo hapo juu) ikiwa kama ni “ThrowBackThursday” (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya;

“Let me ThrowitBack ,Shikana Mama, Enzi ZaUjana
Sijawahi kuwa mweusi lol..! Rangi Ya Mtume Nimezaliwa Nayo”

Wengi walimsifu na kumpongeza Lulu  kwa kuweza kuitunza ngozi yake kwakutupia “comments” na kugonga “likes” za kutosha kwenye picha hiyo, kwani anaonekana kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

11 years ago

CloudsFM

NUH MZUWANDA KUMUOA SHILOLE

Staa wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa kumuoa msanii huyo.Kwa mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).‘’Mi sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo alimuona...

 

11 years ago

GPL

JOKATE ASAKA MWANAUME WA KUMUOA

Stori: Hamida Hassan
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume. Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema kuwa hana ‘mtu’ ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka, hatakuwa na sababu ya kumkataa....

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI ASHTUA KUMUOA DOGODOGO!

Stori: Haruni Sanchawa
MCHUNGAJI Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20 tu ‘dogodogo’, Risasi Jumamosi limetonywa. Mchungaji Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC akimuoa 'dogodogo', Pamela Didas. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungishwa na Askofu Innocent Lugagi wa Kanisa la White House la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Manaiki: Sijakata Tamaa Kumuoa Wolper

Mwigizaji wa filamu mwenye mikasa ya aina yake, Manaiki Sanga  ‘The Don’ amesema kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Wolper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.

Akiongea na Gazeti la Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda.

“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini Mbeya na hawamfahamu Walper ila sijakata tamaa na naamini watanielewa tu kwa maaana ndoto yangu...

 

11 years ago

GPL

RAY: SINA MPANGO WA KUMUOA CHUCHU

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
Makubwa! Kaka mkubwa kunako gemu la filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka kuwa hana mpango wa kumuoa mwanadada Chuchu Hans kama inavyodaiwa na baadhi ya watu. Vincent Kigosi ‘Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi. Akijibu swali aliloulizwa na wanahabari wetu hivi karibuni, kuhusiana na kudaiwa kuwa baada ya mpenzi wake huyo kupewa talaka ana...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: RAY HAWEZI KUMUOA CHUCHU

Na Musa Mateja
Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray kumvisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani