MCHUNGAJI ASHTUA KUMUOA DOGODOGO!
Stori: Haruni Sanchawa MCHUNGAJI Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20 tu ‘dogodogo’, Risasi Jumamosi limetonywa. Mchungaji Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC akimuoa 'dogodogo', Pamela Didas. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungishwa na Askofu Innocent Lugagi wa Kanisa la White House la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
IPPmedia14 Jun
Dogodogo centres closure worsen vulnable children`s situation
Dogodogo centres closure worsen vulnable children`s situation
IPPmedia
The government has made vulnerable children more vulnerable by allowing the closure of three Dar es Salaam branches of Dogo Dogo Street Children centres that were supporting such children in the city, as well as those arriving from the regions. The only ...
10 years ago
GPLJIDE, DOGODOGO GUMZO MJINI! DOGO ANASWA NA MKOKO WAKE
11 years ago
GPLSIJAWAHI KUTAKA KUMUOA LULU
9 years ago
GPLDK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU
11 years ago
CloudsFM16 Jul
NUH MZUWANDA KUMUOA SHILOLE
Staa wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa kumuoa msanii huyo.Kwa mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).‘’Mi sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo alimuona...
11 years ago
GPLJOKATE ASAKA MWANAUME WA KUMUOA
11 years ago
GPLUNATAKA KUMUOA JOHARI? BOFYA HAPA!
11 years ago
GPLJOHARI: RAY HAWEZI KUMUOA CHUCHU
11 years ago
GPLNJEMBA KIBAO ZAGOMBEA KUMUOA JOKATE