JOKATE ASAKA MWANAUME WA KUMUOA
![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfAG0ez8zzTpnNzUhrVMIt4vfIGOdDr2k21yzj5cPK2BGDoipZwXitfiIWmaqGdkFAllh1Ys*9dtQAToq3tS8WXJ/jokate.jpg)
Stori: Hamida Hassan Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume. Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema kuwa hana ‘mtu’ ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka, hatakuwa na sababu ya kumkataa....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb9BHFY1aVGwtAuTtaex49laug563dWmwRNT2cz8uZ2a1vLsoEf2-DpjmNbbF-s32Bk7FNcSeRVuTVZQWr8tdi77/jokate.jpg)
NJEMBA KIBAO ZAGOMBEA KUMUOA JOKATE
10 years ago
Vijimambo05 Jul
MWANAUME DRC AJITOKEZA KUMUOA RAY C BAADA YA KUSOMA TAARIFA ANATAFUTA MUME
![](http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2015/02/Ray-C.jpg)
Tunangojea majibu maarufu
John...
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
11 years ago
CloudsFM16 Jul
NUH MZUWANDA KUMUOA SHILOLE
Staa wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa kumuoa msanii huyo.
Kwa mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).
‘’Mi sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo alimuona...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg*6TxeyvTwbpTzSXOp4o5qVpVd4vKdJEl-QaG6zgD1c9m3cNPY8LWaToTtXkztPDwAhuDyaFG6YXUmTq3Jm0P3M/mchungaji.jpg)
MCHUNGAJI ASHTUA KUMUOA DOGODOGO!
11 years ago
GPLSIJAWAHI KUTAKA KUMUOA LULU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyVj3grGgyQeFVjJi16doQawmFpuzA8-NgFlQhiP1iQ5B7clDpvCVJPUrkoGtMGV3Jy1n0Hu9SOVyzfTAmoDsMDf/Cheniiii.jpg?width=650)
DK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAEzFN-4qycTWtideSQ55pW6-2FlZfNc6LSWFTB1uP*7flLhTctgfnUMrO24jAHTKB8GqoApXNxx1JLISzuF3bt4z/naynampenziwake.jpg?width=650)
NAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA