Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku ya hakimiliki duniani: Msanii JB azungumzia hali ilivyo Tanzania

Wakati leo ni siku ya hakimiliki duniani, maudhui yakiangazia filamu na mustakhbali wake kwa wabunifu wa kazi hiyo na waigizaji, suala la hakimiliki bado linaonekana kuwa ni changamoto. Hakimiliki bunifu inaelezwa kuwa ikieleweka na kutumiwa vyema ndiyo muarobaini wa sekta hiyo kunufaisha wabunifu wa kazi hiyo ya sanaa na waigizaji na hivyo kuwawezesha kuendelea kufanya kazi hiyo. Je nchini Tanzania hakimiliki iko vipi? Joseph Msami wa Idhaa hii amezungumza na Jacob Steven al maarufa JB...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

UN yailaumu Tanzania kwa hali ilivyo DRC

Umoja wa mataifa imezituhumu serikali za Tanzania na Burundi kuhusiana na hali katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014

 Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na kuadhimisha kuzaliwa kwa Shirika hilo lililoanzishwa tarehe 23 Machi, 1950 kulingana na kauli mbiu.  Kauli mbiu ya mwaka huu ni ’Ushirikishwaji wa Vijana katika Masuala ya Hali ya Hewa’- ”(Weather and Climate: Engaging Youth)”. Katika kuadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani (WMO), Shirika la Hali ya Hewa linawahamasisha vijana ulimwenguni kote kujihusisha na masuala ya hali ya hewa, ili kupata...

 

11 years ago

Michuzi

maadhimisho ya siku ya kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame duniani wilayani same

Wito umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwaimu kwa jamii ya Umma wa Tanzania kutunza ardhi na udongo kwa ajili ya matumizi endelevu na kuifanya ardhi iwe na uwezo wa kuzalisha mazao ya kilimo na mifugo na kutoa huduma zingine muhimu ili kuepuka hali ya jangwa na ukame kwa kizazi cha sasa na kijacho na pia kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. 
Mheshimiwa Mwalimu amesema hayo wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya kupambana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Missouri hali ilivyo kwa sasa

"Usiku wa jana ulikuwa ni wa maafa. Tunajiandaa kuungana tena na kikosi maalam cha Taifa, kukabiliana na hali hii.

 

10 years ago

Michuzi

HALI ILIVYO DARAJA LA RANDO, KAWE

Daraja la Rando lililopo Kawe jijini Dar lionekanavyo baada ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha maeneo mbalimbali hapa nchini na  kupelekea usumbufu wa kutokufikika kwa baadhi maeneo ya ng'ambo ya daraja hilo, tunafahamu kwamba magari mara nyingi ndio yanasubiana kupishana lakini hapa imekuwa ni tofauti, kwani hapa Pikipiki (Bodaboda) ndio zinapishana kwa mtindo huo kwa kupita moja baada ya nyingine.   Hali ni tete katika daraja hilo ambalo lilitengenezwa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani