Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Sikushangaa kusikia Ngeleja anataka Urais’

U ongozi ni kipaji alichozaliwa nacho mtu ambacho mwingine hawezi kulazimisha kuwa nacho. Hayo ni maneno ya baadhi ya marafiki wa Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (pichani), aliyeamua kujitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Sentesi 3 za maajabu ambazo mwajiri anataka kusikia kwenye interview

Sote tunaweza kukubaliana kuwa usaili ni njia isiyo kamilifu ya kumbaini mtu anayeomba kazi. Kwa anayefanyiwa usaili, ni nguvu kujua iwapo anachokisema kinaendana na kile meneja mwajiri anakitafuta. Lakini kuna sentesi chache zinazoweza kukupa alama nzuri. Ukipata nafasi hiyo wakati wa usaili, ni jambo zuri kujaribu kuzichomeka sentesi hizi sehemu. 1. “Nilifanikiwa sana kwenye hili […]

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta: Kingwangalla anataka urais

 Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alitumia nafasi yake kulitangazia Taifa kwamba mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla ni miongoni mwa vijana watakaowania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani.

 

10 years ago

Vijimambo

Ngeleja atangaza nia ya kuwania Urais asema" Nitapambana na maadui sita"

Kada wa CCM kutoka Wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza, akimkabidhi, Mbunge wa Jimbo hilo, William Ngeleja (wa pili kulia) kiasi cha Shilingi Milioni moja kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais. Picha na Aidan Mhando
Mwanza. Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, huku akiahidi kupambana na mambo sita aliyoyaita maadui wakuu wa nchi ambayo ni umaskini, ujinga, maradhi, rushwa, ufisadi na mmomonyoko wa maadili.Akitangaza nia hiyo kwenye Ukumbi wa Benki...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA NGELEJA KATIKA KUTANGAZA NIA YA URAIS WA TANZANIA YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI

Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja  amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi. 


Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Van Gaal:Sikushangaa kulazwa4-0 na MK Dons

Louis van Gaal amesema hakushangazwa na kichapo cha mabao 4-0 mikononi mwa MK Dons .

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara mkoa wa Mwanza, akutana uso kwa uso na mgombea Urais Ngeleja

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwafuraha na Mbunge wa Jimbo la  Sengerema, ambaye pia ni mmoja wa wana CCM waliochukua fomu ya kuomba kuwania urais ndani ya chama hicho, William Ngeleja alipowasili katika Kata ya Nyamadoke, Jimbo la Buchosa,, wilayani Sengerema, kuanza ziara rasmi katika majimbo yote ya Mkoa wa Mwanza leo.

Komredi Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ameanza ziara mkoani Mwanza, baada ya kumaliza ziara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM hawaoni wala kusikia waambiwayo

“KWA kadiri ya hali ya nchi yetu, ziko sababu za kutosha kutaka katiba mpya. Sababu hizo ni pamoja na ufisadi, wananchi kujisikia kukosa usalama, na nchi kutokuwa na dira, tunu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke afaaye wasioweza kuona na kusikia

Haben Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kusikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard ambaye amejitahidi kuimarisha upatikanaji wa teknolojia kusaidia wasioweza kuona au kusikia.

 

10 years ago

GPL

JOHARI: SITAKI KUSIKIA HABARI ZA CHUCHU

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’. Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani