Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Silaa: Dar inakufa

>Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amesema kuwa Jiji la Dar es Salaam hivi sasa ni sawa na mgonjwa mahututi hivyo kufariki si ajabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MEYA SILAA: DAR ITAKUFA

Mwandishi : Elvan Stambuni na Haruni Sanchawa MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa amesema ikiwa Halmashauri ya Jiji haitapewa fedha za kutosha na serikali kuu basi Dar itakufa. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akifafanua jambo ndani ya chumba cha habari cha Global Publishers, Mwenge, Bamaga jijini Dar. Akizungumza na waandishi wa habari katika safu ya Live Chumba cha Habari na Global TV On Line, Bamaga Mwenge,...

 

11 years ago

GPL

SILAA AKABIDHIWA JENGO LA MATIBABU MOGOLANDEGE, UKONGA DAR

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (mwenye miwani) akikata utepe kufungua jingo lililojengwa na Dk. Abdallah Mandai (kushoto) kwa ajili ya kutolea huduma za wagonjwa wa kifua kikuu katika zahanati ya Mogolandege, Ukonga Dar hivi karibuni. ...Dk Mandai akipongezwa na baadhi ya viongozi wa serikali baada ya kukabidhi jingo kwa Meya Silaa.… ...

 

10 years ago

GPL

CATHY: BONGO MUVI INAKUFA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB: Tunafurukuta Lakini Tasnia ya Filamu Inakufa

Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.

JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.

Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.

“Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB:Tunafurukuta Lakini Tasnia ya Filamu Inakufa

Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.

JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.

Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.

“Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana...

 

9 years ago

Bongo5

Dr Cheni adai tasnia ya filamu Tanzania inakufa

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Dr Cheni amesema tasnia ya filamu inakufa kama uuzaji wa albamu za wasanii wa Bongo Flava ulivyokufa. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Dr Cheni alisema kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya kwa wasanii wa filamu. “Unajua kwa hali tuliyo nayo kwa sasa ni mbaya sana. Kama tukiendelea […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bila serikali tatu, rasimu iliyopo nayo inakufa!

KUNA kisa kimoja cha kuchekesha kinachotokana na simulizi za zamani. Palikuwa na mpita njia mmoja  alikuwa akitembea kando ya nyumba. Alisikia zogo kati ya mume na mke. Watu hawa wakawa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Silaa: Sijawakimbia UWAWADA

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa, amesema hawezi kuwakimbia Umoja wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (UWAWADA) kwa sababu hawamdai, kama wanavyodai. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani