Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


simba SC dume, ukawa kimyaa


Mshambuliaji waSimba,raia wa Uganda Emmanuel Okwi.
Na Ibrahim Mussa
BAADA ya matokeo ya sare sita mfululizo, hatimaye Simba imepata ushindi wake wa kwanza katika mechi ya saba kwa kuifunga Ruvu Shooting bao 1-0 katika Ligi Kuu Bara, jana, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Ushindi huo uliwazima kabisa mashabiki wa kundi maarufu la wanachama waliosimamishwa uanachama la Simba Ukawa ambao wamekuwa wakidai Simba itatoa sare saba mfululizo na mambo yatakuwa mabaya zaidi kama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Simba dume lao

Wachezaji wa Simba wakishangilia goli. Daudi Julian na Musa Mateja, Morogoro  KOCHA wa Simba, Goran Kopunovic, jana aliamua kuonyesha jeuri kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuwaambia ‘tulieni-tulieni’ kisha kuwaonyesha ishara ya kuwataka wakae kimya, kauli ambayo aliitoa wakati timu yake ilipopata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Moro. Simba imeifunga Polisi Moro katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara kwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ugonjwa wa mifupa unaoshambulia kimya kimya (2)

WIKI iliyopita tuliona jinsi Anna alivyovunjika mifupa miwili ya mgongo, hali iliyosababishwa na ugonjwa wa mifupa yaani “Osteoporosis”. Ugonjwa huu ilisababishwa na kujinyima chakula, ili aendelee kwa Mwanamitindo anayevutia zaidi....

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond amleta Godfather Dar kushoot video zake ‘kimya kimya’

12298834_430293703831416_1645961294_n

Diamond Platnumz ameamua kumleta muongozaji wa video zake, Mike Ogoke maarufu kama Godfather na timu yake kuja kufanya video zake jijini Dar es Salaam.

12298834_430293703831416_1645961294_n
Diamond akiwa na msaidizi wa Godfather, Mike Dube jijini Dar

Muongozaji huyo na timu yake ipo jijini Dar kwa siku ya tano tayari na siku zote hizo imekuwa ikifanya kazi. Ofcourse Diamond na Godfather hawajasema chochote kuhusiana na hilo lakini msaidizi wake Mike Dube ameumwaga ubuyu.

Kwenye Instagram, Dube amepost picha ya pontoni la...

 

10 years ago

GPL

Simba Ukawa wakubali kuishangiliaYanga SC

Simba ukawa. Na Mohammed Mdose,
Dar es Salaam
KUFUATIA kauli ya Yanga ya kuwataka mashabiki wa klabu tofauti za hapa nchini kujitokeza na kuwapa sapoti kwenye mchezo wao wa kesho Jumapili wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe, mashabiki wa Simba wa Tawi la Mpira na Maendeleo, maarufu kwa jina la Simba Ukawa, wamekubali kufanya hivyo ila wakatoa masharti. Yanga, kesho inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Simba Ukawa’ sasa wamponza Idd Pazi

TIMU ya Simba juzi usiku iliondoka nchini kwenda Afrika Kusini kwa kambi kuelekea mechi dhidi ya Yanga, itakayopigwa Oktoba 18 Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam huku Kocha wa...

 

10 years ago

Michuzi

Hans Pope: Simba Ukawa futeni kesi mahakamani!





MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope amewataka Simba ukawa kufuta kesi iliyopo mahakamani ili wawarejeshee uwanachama wao. Pope alisema leo  kuwa hawana ugomvi na Ukawa, na kwamba uongozi uliopo madarakani upo tayari kuwarudisha Ukawa na kuwa kitu kimoja kwa maslahi ya kuijenga Simba. "Ukawa ni matawi mawili ya Mpira Pesa na Mpira maendeleo, nimeshakutana na mpira pesa nikazungumza nao, nimewashauri wawasiliane na wenzao wakafute kesi ili tuungane na tuwe kitu kimoja...

 

10 years ago

CloudsFM

Miili ya mashabiki wa Simba Ukawa yasafirishwa kutoka Morogoro kwenda Dar

Miili ya wanachama saba wa klabu ya Simba maarufu kama Simba Ukawa waliofariki mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Morogoro kwa ajali ya gari wakielekea mkoani Shinyanga kuishangalia timu yao imesafirishwa kuelekea jijini Dar.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Huu ni mwaka dume!

Na Rashid Abdallah Ndio! Ni kweli! Halinashaka kabisa! Kuwa CCM na raisi Jakaya na watangulizi wake wameshindwa kabisa kuikwamua Tanzania. Kama ni jahazi basi tungesema jahazi la CCM limelala upande mmoja na wala si ajabu kuwa […]

The post Huu ni mwaka dume! appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

mwandani wa saratani ya tezi dume

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea. Hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu kwanza tujue tezi dume ni zipi.

SARATANI NI NINI?Saratani ni jina la gonjwa ambao hutokea wakati chembe chembe za uhai au seli katika sehemu fulani ya mwili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani