Simba Ukawa wakubali kuishangiliaYanga SC
![](http://api.ning.com:80/files/4iGGfOEDayuFxVje5apsePAkNMn9318ixiWh8BJuLFDPvPbrt*0Pf10IlfublQFj8Oe8w1QngzRvqnFVXmZnntrqFwuAAWS5/ssss.gif)
Simba ukawa. Na Mohammed Mdose, Dar es Salaam KUFUATIA kauli ya Yanga ya kuwataka mashabiki wa klabu tofauti za hapa nchini kujitokeza na kuwapa sapoti kwenye mchezo wao wa kesho Jumapili wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe, mashabiki wa Simba wa Tawi la Mpira na Maendeleo, maarufu kwa jina la Simba Ukawa, wamekubali kufanya hivyo ila wakatoa masharti. Yanga, kesho inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Nov
simba SC dume, ukawa kimyaa
Mshambuliaji waSimba,raia wa Uganda Emmanuel Okwi.
Na Ibrahim Mussa
BAADA ya matokeo ya sare sita mfululizo, hatimaye Simba imepata ushindi wake wa kwanza katika mechi ya saba kwa kuifunga Ruvu Shooting bao 1-0 katika Ligi Kuu Bara, jana, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo uliwazima kabisa mashabiki wa kundi maarufu la wanachama waliosimamishwa uanachama la Simba Ukawa ambao wamekuwa wakidai Simba itatoa sare saba mfululizo na mambo yatakuwa mabaya zaidi kama...
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
‘Simba Ukawa’ sasa wamponza Idd Pazi
TIMU ya Simba juzi usiku iliondoka nchini kwenda Afrika Kusini kwa kambi kuelekea mechi dhidi ya Yanga, itakayopigwa Oktoba 18 Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam huku Kocha wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vL9_0PU-o28/VJcQaXa2jwI/AAAAAAAG44Q/pv7iYZhH3Q8/s72-c/1.jpg)
Hans Pope: Simba Ukawa futeni kesi mahakamani!
![](http://1.bp.blogspot.com/-vL9_0PU-o28/VJcQaXa2jwI/AAAAAAAG44Q/pv7iYZhH3Q8/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8LzmJQr2Wbw/VJcQaIwsI8I/AAAAAAAG44M/bJYB-T6vILk/s1600/download%2B(1).jpg)
MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope amewataka Simba ukawa kufuta kesi iliyopo mahakamani ili wawarejeshee uwanachama wao. Pope alisema leo kuwa hawana ugomvi na Ukawa, na kwamba uongozi uliopo madarakani upo tayari kuwarudisha Ukawa na kuwa kitu kimoja kwa maslahi ya kuijenga Simba. "Ukawa ni matawi mawili ya Mpira Pesa na Mpira maendeleo, nimeshakutana na mpira pesa nikazungumza nao, nimewashauri wawasiliane na wenzao wakafute kesi ili tuungane na tuwe kitu kimoja...
10 years ago
CloudsFM09 Apr
Miili ya mashabiki wa Simba Ukawa yasafirishwa kutoka Morogoro kwenda Dar
Miili ya wanachama saba wa klabu ya Simba maarufu kama Simba Ukawa waliofariki mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Morogoro kwa ajali ya gari wakielekea mkoani Shinyanga kuishangalia timu yao imesafirishwa kuelekea jijini Dar.
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Bariadi wakubali TIKA
WADAU wa afya katika Halmshauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu, wameridhia kutumika kwa mfumo mpya wa utoaji wa huduma za afya kwa kadi (TIKA). Wadau hao walifikia uamuzi huo...
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
Sudan Kusini wakubali mazungumzo
9 years ago
BBCSwahili07 Oct
Wapiganaji wa Houthi wakubali mpango wa UN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wFzQ0ooUPLSmr5RzpKY8KeFygmqSNW2R1vObjqIoR9hgySe9SIsEIYk5Uz7BwzJCGTwmnbht5mndj5b6pnFelmb/psquare.jpg)
P-SQUARE WAKUBALI UWEZO WA DIAMOND
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wahisani wakubali kuchangia bajeti
SHAMIMU MATTAKA (DACICO)
HATUA zilizochukuliwa na serikali dhidi ya waliochota zaidi ya Sh bilioni 200 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zimesaidia Tanzania kukubaliwa kupewa Sh bilioni 71 na wahisani wa Maendeleo katika bajeti ijayo ya 2015/2016.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema Dar es Salaam jana kwamba wahisani hao wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya watuhumiwa.
“Baada ya suala hilo Tanzania ilikuwa katika sura ambayo si nzuri lakini...