Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba SC wajigamba kuendeleza vipigo Ligi Kuu Bara

Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Simba, Haji Manara. Na Said Ally Dar es Salaam
KIKOSI cha Simba baada ya juzi Jumatatu kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Kagera Sugar, kimejigamba kuwa kitaendeleza ubabe wake kwenye ligi hiyo hadi mwisho. Simba ambayo kwa sasa inashika nafasi ya tatu kwa kuwa na pointi 35, wikiendi hii inatarajiwa kupambana na Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Taifa, Dar huku mchezo huo ukitarajiwa kuwa ni wa kisasi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Je, Simba itarudi kuwa Simba halisi msimu huu?

Ukiwa shabiki wa Simba, hakuna kitu kilichoumiza kama kumuona nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akikabidhiwa taji la 24 la ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita. Uwe mbele ya televisheni ya Azam TV, au kama ulikuwa uwanjani, ilikuwa picha inayoumiza sana.

 

9 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Simba yafuta nuksi Tanga

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ilianza vyema kwa klabu za Simba, Azam, Mtibwa, Kagera Sugar na Toto Africans ya Mwanza kushinda dhidi ya wapinzani wao.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo

>Miamba ya soka nchini, Yanga na Simba baada ya kushindwa kutambiana wiki iliyopita leo itasaka ushindi wa ugenini dhidi ya Stand United na Prisons huku mabingwa watetezi Azam wakiwa nyumbani kuwavaa JKT Ruvu.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara

>Mbeya City, Prisons na Stand United ndizo timu pekee ambazo hazina mchezaji yeyote aliyewahi kucheza Yanga au Simba katika vikosi vyao msimu huu.

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara

Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: TFF iachane na Ligi Kuu, ijikite kuendeleza soka

>Hivi karibuni Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) lilitangaza orodha ya viwango vya ubora kwa nchi wanachama wake duniani inayoonyesha Tanzania imeshuka kwa nafasi mbili kutoka 105 iliyoshika mwezi uliopita hadi nafasi ya 107.

 

10 years ago

Mwananchi

Sare tu Ligi Kuu bara

Simba imeshindwa kujinasua kwenye nafasi za chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare tasa ya 0-0 dhidi ya Coastal Union katika siku iliyotawaliwa na sare lukuki kwenye viwanja vingi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani