Simba SC yaichakaza Polisi Moro
>Simba imepaa hadi nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu baada ya kuichapa Polisi Morogoro kwa mabao 2-0 jana kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSIMBA HOI KWA POLISI MORO UWANJA WA TAIFA DAR
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Simba yasaka nne bora mgongoni mwa Polisi Moro
10 years ago
Michuzi31 Aug
SIMBA YAICHAKAZA KMKM 5-0 ZANZIBAR
Simba SC ilikwenda kupumzika ikiwa inaongoza mabao 4-0, yaliyotiwa kimiani na Amisi Tambwe mawili, Amri Kiemba na Shaaban Kisiga ‘Malone’ moja kila mmoja.
Amri Kiemba ndiye aliyefungua karamu...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YfeWR9TFKNI/Va0De2WQO_I/AAAAAAAAWak/82cqhBYxmNo/s72-c/1%2B%25281%2529.jpg)
NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-YfeWR9TFKNI/Va0De2WQO_I/AAAAAAAAWak/82cqhBYxmNo/s640/1%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Simba yatakata Moro
TIMU ya soka ya Simba, jana ilizinduka na kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuichapa Polisi Morogoro mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini hapa.
Matokeo hayo yameiwezesha Simba kupanda kutoka nafasi ya tisa hadi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo, baada ya kufikisha pointi 20, kutokana na mechi 14.
Azam ndio waliopo kileleni na pointi 25 baada ya kushuka dimbani mara 13, sawa na Yanga, lakini ‘Wanalambalamba’ hao wapo kileleni...
10 years ago
TheCitizen15 Feb
Simba out to gun down Police Moro
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Polisi Moro yapata viongozi
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Polisi Moro yanyukwa nyumbani
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Lipuli yailipua Polisi Moro
LIGI ya soka Daraja la Kwanza (FDL), raundi ya pili, ilianza juzi kwa Lipuli FC kuwapigisha kwata maafande wa Polisi Morogoro kwa kuwaadhibu mabao 3-1 kwenye Uwanja wa CCM Samora...