Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yatakata, Mtibwa majanga

Simba imewafuta machozi mashabiki wake baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1, wakati Stand United ikishinda bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika michezo hiyo miwili ya kiporo iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Simba yatakata Taifa

SIMBA ya Tanzania jana ilisherehekea vizuri siku yao (Simba Day), baada ya kuifunga Club Sports Villa ya Uganda 1-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba yatakata Moro

SIMBA NA POLISI2TIMU ya soka ya Simba, jana ilizinduka na kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuichapa Polisi Morogoro mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini hapa.
Matokeo hayo yameiwezesha Simba kupanda kutoka nafasi ya tisa hadi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo, baada ya kufikisha pointi 20, kutokana na mechi 14.
Azam ndio waliopo kileleni na pointi 25 baada ya kushuka dimbani mara 13, sawa na Yanga, lakini ‘Wanalambalamba’ hao wapo kileleni...

 

10 years ago

Vijimambo

Simba yatakata, yaichapa Prisons 5-O, Ajib atupia hat-trick

Na Richard Bakana, Dar es salaam
Klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam leo imefanikiwa kutoa dozi ya msimu kwa maafande wa Tanzania Prisons, baada ya kuwafunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib ndio aliibuka kinara wa kufumania nyavu baada ya kutupia kambani bao 3 (Hat trick) ambapo katika kipindi cha pili alipumzishwa baada ya kupewaa kadi njano.
Simba walijipatia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Mtibwa ngoma inogile

>Simba leo inaanza kibarua kigumu cha kutafuta pointi 12 katika mechi zake tatu za nje ya Dar es Salaam itakapovaana Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba, Mtibwa eye final

Mainland representatives at the Mapinduzi Cup, Simba SC and Mtibwa Sugar, are in action today, seeking to qualify for the final.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba held, Yanga take on Mtibwa

 Mainland giants Simba and Azam FC dropped two points each in their respective Premier League matches yesterday.

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Mtibwa zamtisha Wawa

BEKI mahiri wa timu ya soka ya Azam, Pascal Wawa, amesema kuimarika kwa timu za Simba na Mtibwa Sugar kumeongeza ukali wa mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtibwa yazishukia Simba, Yanga

Klabu ya Mtibwa Sugar imedai kuwa soka la Tanzania linauliwa na timu za Simba na Yanga kutokana na kitendo cha timu hizo kukumbatia wachezaji kutoka nje ya nchi ambao wamekuwa hawana msaada.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani