Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaweka pembeni mkataba wa Loga

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umeweka wazi kuwa suala la kumuongezea mkataba kocha wake mkuu wa sasa, Zdravko Logarusic limewekwa pembeni kwa kuwa wanasubiri kuona mwelekeo wa timu yao ambayo imekuwa haina matokeo mazuri hivi karibuni. Loga raia wa Croatia alisaini mkataba wa miezi sita wakati alipotua klabuni hapo mwishoni mwa mwaka jana, ambapo mkataba huo unatarajiwa kufikia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Hans Pope azuia mkataba wa Loga Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope.
Na Martha Mboma
IMEELEZWA kuwa, kutokuwepo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope, ndiyo chanzo cha kocha mkuu wa timu hiyo, Mcrotia Zdravko Logarusic kushindwa kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Loga ambaye aliifundisha Simba awali kwa mkataba wa miezi sita msimu uliopita, amekuwa katika mvutano na uongozi juu ya...

 

11 years ago

GPL

Loga atimka zake, Simba yampotezea mkataba

Kocha Mkuu wa SImba, Zdravko Logarusic na msanii wa Filamu, Wema Sepetu. Na Martha mboma
UWEZI kuacha kumtaja katika listi ya makocha wasioishiwa vituko kutokana na mbwembwe ambazo amekuwa akizifanya pindi anapowaelekeza wachezaji wake iwe mazoezini au kwenye mechi.
Huyo ni Zdravko Logarusic raia wa Croatia, aliyeanza kuifundisha Simba katika mzunguko wa pili wa msimu uliomalizika wiki iliyopita, ambapo alipokea mikoba ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

11 years ago

GPL

Loga asajili wachezaji 25 Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu.
Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye mapumziko huku akisubiri majibu iwapo ataitwa kuendelea na timu hiyo au la ambapo mkataba wake unaisha Juni,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awakaribisha nyota wa Simba B

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama  wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awavutia pumzi Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga mabadiliko makubwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...

 

11 years ago

GPL

Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na John Joseph
TABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake, ambapo sasa habari kamili ni kuwa, wengi wao hawana amani wanapocheza chini ya kocha huyo. Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Loga… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani