Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simu mpya ya Huawei P8 yazinduliwa kwenye soko la Tanzania

IMG_7824

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Huawei Tanzania, Bw.Samson Majwala akizungumzia ubora wa simu mpya ya Smartphone ya kisasa aina ya Huawei P8 ambayo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kampuni hiyo kuleta mapinduzi kwenye nyanja ya mawasiliano ulimwenguni mbele ya jopo la waandishi wa habari pamoja na wadau katika hafla fupi iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency.

IMG_7894

IMG_7856

Meneja Mkazi anayeshughulikia bidhaa za kampuni ya Huawei Tanzania, Bw. Zhang...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

10 years ago

Michuzi

HUAWEI yazindua simu mpya ya Ascend P8

Baadhi ya waandishi walioudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Huawei Ascend P8, iliyozinduliwa hivi karibuni jijini London 
KAMPUNI nguli sekta ya teknolojia  ya habari na mawasiliano ya Huawei imezindua simu mpya aina ya Ascend P8 ikiwa ni muendelezo wa kampuni hiyo kuleta mapinduzi kwenye nyanja ya mawasiliano ulimwenguni. Akizungumza kwenye uzinduzi wa simu hiyo kimataifa uliofanyika kwenye jiji la London, Uingereza mwishoni mwa wiki, Afisa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo, Bw....

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI MPYA YA SIMU YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni, Ananias Kamundu (wa tatu kushoto), akipata maelezo kuhusu bidhaa za kampuni mpya ya simu za mkononi ya Halotel katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Viettel Tanzania wamiliki wa Halotel,  Nguyen Thanh Quang na wageni wengine waalikwa. Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni, Ananias Kamundu (kushoto), na Mkurugenzi  wa kampuni mpya ya simu za mkononi wa Halotel  Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Huawei yazindua simu mpya aina ya Ascend 6-inch Mate 7 jijini Dar leo

Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (kushoto) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (katikati) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A NAME iliofanyika hivi karibuni.  Pichani kati ni Balozi wa Kampuni hiyo ya simu iliyozinduliwa leo jijini Dar,Msanii wa maigizo ya vichekesho atambulikae kwa jina la Hemed Maliyaga a.k.a Mkwere Orijini akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Smart Telecom,Afrika Mashariki,Abdullatif Bouziani (shoto)...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Canadian Solutions Trading & Cleaning Est watambulisha Tiles aina mpya zisizokuwa na utelezi kwenye soko la Tanzania

Kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Juzi imetambulisha aina mpya ya Tiles kwenye soko la Tanzania ikiwa na kauli ya  “SURE STEP” ndani ya Hotel ya Double Tree Jijini Dar es Salaam. Aina mpya hiyo ya Tiles ni mpya Tanzania kwani ni aina ambayo haina utelezi wakati wote hata pindi ikiwa na maji au imelowa kwa Mvua au Unyevunyevu. Sure Step inafanya Kazi Vipi? akiongea na wageni walioalikwa na wadau mbalimbali Bwana Thomas amesema kuwa Tiles hizo zina ubora wa hali ya juu ikiwemo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani