SIMULIZI: Sir Andy Chande: Mwalimu Nyerere aliniomba msamaha
>Baada ya wiki iliyopita, mwandishi wa simulizi hizi, Sir Andy Chande kusimulia namna Serikali ilivyotaifisha kampuni kutoka kwa watu wenye asili ya Asia. Sasa endelea…
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Sir Andy Chande: Nilirejesha fuvu la Zinjanthropus nchini
Wiki iliyopita, mwandishi wa makala haya aliyewahi kuwa Mkuu wa Freemason Afrika Mashariki, Sir Andy Chande alisimulia namna alivyoanzisha Shule ya Shaaban Robert, pia alieleza kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa alikuwa gavana wa kwanza wa shule hiyo. Sasa endelea…
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Sir Andy Chande: Nilinusurika kutekwa kwenye ndege
Siku iliyofuata saa 3 asubuhi, waziri akiwa na miwani ya rangi nyeusi, tena baada ya kupata vikombe viwili vikubwa vya maziwa, alitoa hotuba ambayo kamwe sikuwahi kuisikia akizungumzia mambo kadhaa yaliyokuwa yamependekezwa na Tanzania.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Sir Andy Chande: Serikali ilitumia dakika moja kutaifisha kampuni zetu
Jana katika simulizi hizi, mwandishi Sir Andy Chande aliyekuwa Kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki, alieleza namna Azimio la Arusha lilivyokusudia kubadilisha hali ya kiuchumi nchini
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Sir Chande: Nilivyopata uongozi Freemason
Wamekuwa wakitajwa kwenye kila aina ya minong’ono. Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata utajiri na kuwa watu wenye nguvu. Lakini bado Freemason, imebaki kuwa kitendawili miongoni mwa Watanzania wengi.
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Miaka 60 ya Sir Chande ndani ya Freemason nchini
Wakati mwigizaji maarufu Stephen Kanumba alipofariki ghafla April 2012, aliacha mjadala na maswali kwa wapenzi wake, kama alikuwa mwanachama wa Freemason au la.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GrumRRxu4WA/default.jpg)
9 years ago
GPL14 Oct
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Tanzania inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa mwasisi wa taifa hilo marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Mwalimu Nyerere hatotoweka
KADI yangu ya chama cha TANU Na.C.875903 ya 20.04.1971, tawi la Bank-NBC- Dar es Salaam, na pia kumbukumbu yangu ya kuwa mwanachama wa kikundi cha ‘Tanu Youth League’ tokea 1968...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania