SIMULIZI YA JB: AZIGAWA FILAMU ZAKE JERUSALEM
![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXVHk-nSZZwRLQ82QRCsSLHzF6lR6Ri21y28zeW9nJ8X9uAc3p-gfVvvbV*BoqIJs*A1IrLCzGlbWXU*04h0CQwq/jbmtupu.jpg?width=650)
“Ngoja nikwambie kitu kimoja. Kuna vijana wengi siku hizi wanaweza kukufuata na kukwambia kwamba wanataka kuigiza, sawa, ila ukiwauliza kwa nini wanataka kuigiza, wanakwambia ni kwa sababu wanataka kuwa maarufu, basi,” anasema JB kisha anakunja sura kidogo hali iliyonifanya nishtuke, nikajiweka vizuri kitini. Akaendelea: “Huwa sipendi kufanya kazi na watu wanaotaka umaarufu halafu iwe basi. Uigizaji kwa sasa ni ajira,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pX4h1nu50oHcLANGBIf3pTAVGFnYO38T9RG-8Y4dF57LNWXdObV92RpEQP2L3dWc-3NNnlHm7UW-z*CtQh3QPy3PgrnKiyYK/halfbike.jpg?width=650)
VITUKO UGHAIBUNI: JAMAA AZIGAWA MALI ZAKE NUSU KWA NUSU BAADA YA KUMWAGANA NA MKEWE
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Habari Njema Kutoka Jerusalem Films kwa Wapenzi Na Waigizaji Wachanga wa Filamu
Wapenzi na wadau wa Jerusalem Films tunapenda kuwajulisha kuwa uchukuaji picha wa tamthilia yetu utaanza mwishoni wa mwezi wa 11.
Hii nikutokana na kuingiliwa kwa ratiba kutokana na uchaguzi, waigizaji wengi tutakao wapa nafasi ni wapya, tutatoa utaratibu wa usaili.
Tayari tumepata mkataba mzuri na moja ya Television ya kulipia, vile vile tunajipanga kuwatangazia siku za kuzitoa Chungu Cha Tatu, Chale Mvuvi na Kalambati Lobo.
endelea kufurahia kazi za jerusalem films
Jacob Stephen ‘JB’...
9 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake
9 years ago
MichuziBALOZI WA UINGEREZA NCHINI AONGOZA UZINDUZI WA FILAMU YA KUPINGA UKEKETAJI YA SIMULIZI HALISI YA GHATI NA RHOBI
10 years ago
GPLPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba
NA HERIETH FAUSTINE
KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.
“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI