Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sina mgombea CCM - Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akihutubia.WAKATI joto la Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho wa Rais, Wabunge na Madiwani likionekana kuanza kupanda kwa baadhi ya wanasiasa nchini, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hana mgombea ndani ya chama anayegombea nafasi yoyote, hivyo asihusishwe na yeyote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana: CCM itaweka mgombea urais mzuri

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema CCM itaweka mgombea mzuri na imara wa nafasi ya urais na itashinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa,Iringa vijijini.
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Sina mgombea kwenye mkoba’

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Tabora Mjini, Moshi Nkonkota, amekanusha malalamiko yaliyotolewa na Mbunge Ismail Rage, kuwa ana mgombea kwenye mkoba aliyemuandaa kuwania jimbo hilo. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

Mgana Izumbe Msindai – Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Mikoa akitoa tamko hilo kwenye makao makuu ya Chama Chama Mapinduzi Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam leo,kulia ni Haji Juma Haji – Makamu Mwenyekiti Wa Wenyeviti Mikoa na kushoto ni Lucas Ole Mukusi – Katibu wa Wenyeviti Mikoa. ................................................................................................................ Sisi...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina tena rafiki CCM

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM  na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea mwenza CCM aupukutisha upinzani Lindi, 61 wajiunga CCM, wamo viongozi

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani