Kinana: CCM itaweka mgombea urais mzuri
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema CCM itaweka mgombea mzuri na imara wa nafasi ya urais na itashinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-cgFeqyGylw4/VcC04r9_5zI/AAAAAAAAcCQ/omhO-aOQrNk/s72-c/c16.jpg)
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
![](http://4.bp.blogspot.com/-cgFeqyGylw4/VcC04r9_5zI/AAAAAAAAcCQ/omhO-aOQrNk/s640/c16.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-283YW3zqPqY/VcC04hc0ZFI/AAAAAAAAcCM/6Yn8L0MksWw/s640/c17.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-X1hklPGs6_4/VcC04dfGx7I/AAAAAAAAcCI/tK03pjoNSxE/s640/c18.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dQMFnDG46-o/VcC050ISKbI/AAAAAAAAcCg/wczVQE642p4/s640/c19.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4K6YSo9YezA/VcC06IaqWuI/AAAAAAAAcCk/btgG3CzKLYc/s640/c20.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-C-vbmMMYATo/VcC06oLLGlI/AAAAAAAAcCo/Uf0oA3y06vw/s640/c21.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-i0L0gdBbxR0/VcC06wBZ0uI/AAAAAAAAcCs/ilzWOvRdpY8/s640/c22.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mXP8dksn-Zk/VcC07ngiiFI/AAAAAAAAcC8/EDURRoHq4gc/s640/c23.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vFq-Sn-LLws/VcC08FuPX5I/AAAAAAAAcDI/2JMLVef8exk/s640/c24.jpg)
10 years ago
Habarileo15 Sep
Sina mgombea CCM - Kinana
WAKATI joto la Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho wa Rais, Wabunge na Madiwani likionekana kuanza kupanda kwa baadhi ya wanasiasa nchini, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hana mgombea ndani ya chama anayegombea nafasi yoyote, hivyo asihusishwe na yeyote.
10 years ago
Habarileo25 May
Mgombea Urais CCM Julai 12
MGOMBEA Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atajulikana Julai 12 mwaka huu baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kuomba kuwania nafasi hiyo, kutafuta wadhamini na kujadiliwa katika chama hicho.
10 years ago
Mwananchi14 Jan
‘Hatufukuzi mgombea urais CCM’
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Mfahamu Magufuli mgombea urais wa CCM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1GsuXCbGfOQAYXI4VslD0ocqMkC4gFvKM*pzffdurbMxZeWI5kWvm*djCj3PDvMGWW7ha-hefaX1AZOKHWKI0KQm0/IMG20150710WA0034.jpg)
10 years ago
Mwananchi14 May
Sifa kumi za mgombea urais wa CCM
10 years ago
StarTV13 Jul
Dr.John Magufuli ndiye mgombea urais CCM.
Chama tawala nchini Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza daktari John Magufuli kuwa mgombea wake wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu wa ujao.
Daktari John Magufuli, alisajili asilimia 87 % ya kura za wajumbe, hiyo ikiwa ni kura 2104.
![null](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/07/12/150712095247_ccm_je__dr_john_magufuli__ndiye__624x351_bbc_nocredit.jpg)
Kwa mujibu wa akaunti ya twitter ya CCM ametapata asilimia 87% ya kura za wajumbe
Bi Amina Salulm Ali alimaliza katika nafasi ya pili akiwa na asilimia 10.5 % ya kura zote ikiwa ni sawa na kura 253.
Dk. Asha-Rose Migiro akijizolea asimilia tatu ya...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
‘CCM itateua mgombea bora wa urais 2015’